Bugududu Sududu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2014
- 600
- 700
Ningelikuwa nafahamu genge wanalo nywea chai Luis suarez na cotinho ningeenda kuwa zomea
KASHACHEZA NAE ZIDI YA CELTIC fuatilia na jana walikuwa wanamchezea double sio VVD peke yakeTatizo lenu Munapenda Kukariri kuwa Messi hazuiliki,
Fine VVD hakuwahi kucheza na Messi kwenye Mashindano ya Ulaya ndiyomana Firs Leg akasumbua!
Lakini baada ya kuusoma Mchezo wakaona kumbe ni Wa Kawaida tu! Sasa tazama Jana Walichomfanya.
Halafu Kuwa kwamba Messi ni Jogoo la Shamba haliwezi kuika Ndani ya Anfield.


Mkuu mimi sikukata tamaa maana mechi niliiona barca wakawaida sana na kweli vijana wamefanya kazi kubwa sana.tumewakalisha barca watu hawaamini this is Liverpool.never give up.
Ajabu sio ilo .Nimefurahi Sana Jana Kushinda, Lakini kilichonisikitisha ni Kitende cha TAA kupiga Kona iliyozaa goli la 4! Ule ni Uhuni aliowafanyia Barcelona.
Yani beki inataka kujipanga yeye ndiyo kawashtukiza kwa Kona![]()
![]()
Wew endelea na masikitiko yako siye kwetu rahaNimefurahi Sana Jana Kushinda, Lakini kilichonisikitisha ni Kitende cha TAA kupiga Kona iliyozaa goli la 4! Ule ni Uhuni aliowafanyia Barcelona.
Yani beki inataka kujipanga yeye ndiyo kawashtukiza kwa Kona![]()
![]()
KASHACHEZA NAE ZIDI YA CELTIC fuatilia na jana walikuwa wanamchezea double sio VVD peke yake
mnahamisha magoli sasa ni gundu au kule messi hayupo tena hamna pa kushikilia,Kama mnategemea brighton awaletee epl hapo ndio napozid kusema liverpool mmevurugwa
Klop ana gundu tu, final huwa anazingua toka dortmund
Uefa bado hamjachukua, ila mtashiriki final tu
KASHACHEZA NAE ZIDI YA CELTIC fuatilia na jana walikuwa wanamchezea double sio VVD peke yake
Nyie hamwezi drop point kwa wolves?????mnahamisha magoli sasa ni gundu au kule messi hayupo tena hamna pa kushikilia,
kua na maneno ya akiba mpira ni dakika 90+ lolote linawezekana hata huyo citi anaweza dro n.k...
Liverpool ni timu bora sana kwa sasa.
Liverpool ilikuwa na uwezo wa kumfunga Barca nje ndani. Barca ni timu ya kawaida sana kwa sasa.
Giggs aliwai kuwafunga Monaco vile vile mabeki wakiwa wamesinzia....Nimefurahi Sana Jana Kushinda, Lakini kilichonisikitisha ni Kitendo cha TAA kupiga Kona iliyozaa goli la 4! Ule ni Uhuni aliowafanyia Barcelona.
Yani beki inataka kujipanga yeye ndiyo kawashtukiza kwa Kona![]()
![]()
[/QUOTE]Messi wa kwenye play stesheni Chifu
Messi gani mkuu unayemzungumzia?tumewakalisha 4 bila pale anfield hawaamini wanachokiona
Yani hamuchelewi kugeuka
Bila kausahau Man U kwasasa levo yake ni caddif cityLiverpool ni timu bora sana kwa sasa.
Liverpool ilikuwa na uwezo wa kumfunga Barca nje ndani. Barca ni timu ya kawaida sana kwa sasa.
Nimefurahi Sana Jana Kushinda, Lakini kilichonisikitisha ni Kitendo cha TAA kupiga Kona iliyozaa goli la 4! Ule ni Uhuni aliowafanyia Barcelona.
Yani beki inataka kujipanga yeye ndiyo kawashtukiza kwa Kona![]()
![]()
Mzee baba sipati picha furaha yako ya jana kuona come backNimefurahi Sana Jana Kushinda, Lakini kilichonisikitisha ni Kitendo cha TAA kupiga Kona iliyozaa goli la 4! Ule ni Uhuni aliowafanyia Barcelona.
Yani beki inataka kujipanga yeye ndiyo kawashtukiza kwa Kona![]()
![]()