Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Japo sikupenda liverpool waende final ila jana wamekua bora sana...wanacheza dakiki tisin kwa spidi ya hatari sana..wanastahili kubeba hili kombe..kuna muda nikajiuliza hivi timu yangu man utd kuna siku itaweza kucheza mpira wa kasi kma ule wa liverpool jana?

Ni kumvumilia Ole
Msipende mafanikio ya haraka,mpeni muda Ole achukue wachezaji anao wataka tena wasio na majina
 
Mkuu don't be excited too much it is easier to beat Ajax than spurs remember the two fantastic previous games you got result out of luck not Class they outclassed you, this time luck and class might be on them, for the Spirit you have shown you deserve the UCL but for it to come early spurs are not good opponents for you guys

We will beat Spurs left and right!
I dont wanna to face rejuvenated Ajax
 
Kwamba Man Shit anapigwa nasi tunawachapa madogi pori? We jamaa ntakuachia mchepuko wangu uufanyie Ugwajima wallah

Kaka BHA wameimarika sana
Kaone game ya FA nusu final kati ya BHA vs Man City Wembley!
Baada ya Jesus kufunga bao dakika ya 3 wale vijana walicheza soka saafi sana lkn ikaisha 1-0
 
Barca hawana beki wazuri, wanategemea sana mbele wana washambuliaji wazuri wenye uchu mkubwa wa kufunga
Cha ajabu hata Liverpool hawajakamilika hasa kwa Upande wa Matip, yule jamaa alifaa angeshiriki mashindano ya urembo tu, football ni zero. foul nyingi anazocheza refa angeziona Liver wangekwenda na maji asubuhi na mapema
Matokeo ya jana yameumbua poor defence ya Barca waliyonayo, wasipofanyia kazi msimu ujao watakuwa Teja hata ndani ya Laliga
 
Kaka hatulikosi hilo
Uwepo hapa Jumapili na mapema kaka
Kama mnategemea brighton awaletee epl hapo ndio napozid kusema liverpool mmevurugwa

Klop ana gundu tu, final huwa anazingua toka dortmund

Uefa bado hamjachukua, ila mtashiriki final tu
 
Mnarudia rudia tu jamani. Kwa walioangalia mpira live, Barca walikuwa kawaida tu ila tatizo alikuwa ni Messi. Hii ilishasemwa vizuri huko nyuma. Ndio maana Liverpool inabidi waombe Messi augue. Walahi nakuambia Barca-Messi is nothing
Niliwahi kusema wiki iliyopita kuwa Barca wa kawaida mno, bila Messi au Messi asipokuwa kwenye form au Messi akikatiwa mawasiliano Barca ni Rahisi kuwafunga na one of the Best team in EPL kama Liverpool
 
Mwaka jana AS Roma walimuondoa Barca kwa staili ngumu
Cam nou Barca alishinda 4-1
Roma akashindwa kwa 3-0 na kutolewa wachezaji hawa hawa
Kipa wa Roma alikuwa ni huyu huyu wa Liverpool, Alison
Liverppol wamtumie Alisson maana siri ya ile comeback waliotumia Eusebio De Francesco mwaka jana anaijua
Naona Liverpool wameufuata ushauri wangu wa kufuata ushauri wa Alisson kumuondoa Barca kwa mara ya Pili. Kwanza akiwa na AS Roma kwenye quarter final na sasa akiwa na Liverpool kwenye semi final
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom