Ndani ya jiji la Manchester.Ndoo ya champions league ndani ya jiji la BarceloneNyie chenu ni kipi
Sisi tumekubali hatubebi chochote nyie mmepata nini ? Wenye timu boraNdani ya jiji la Manchester.Ndoo ya champions league ndani ya jiji la Barcelone
Ndoo ya EPL
Kombe la kwanza mshakabidhi leo, lingine kesho.. Hii kitaalamu inaitwa MAENDELEO HAYANA VYAMA![]()





kuku hawana hamu halooo! City akili kubwa.Leicester kashinda sifuri Kwa mojaVipi matokeo,Leicester kashinda ngapi
Wewe ni shabiki wa timu kwanza tuanzie hapokuku hawana hamu halooo! City akili kubwa.
Ila ww haunaga tofauti na mwinyi zaherabora sie tunao amini yesu atarudi kuliko nyie liverpool mnaamini chidi benzi kapona
citizen chairman am here
Kashinda sifuri😂😂😂...ila Liverpool fans wana wakati mgumu huku ligi hawaielewi elewi halafu wanabarcelona at the same time....Leicester kashinda sifuri Kwa moja
hii inakuwa kama ile stori ya fisi alivyokosa minuso miwili yote kwa kutaka kula kotekote

