interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,409
Ndipo hapa akili zako zilipofikia kiupeo, kumbe nachati na jinga jinga lisilojielewaPole sana ulibet sh ngap? Ilikua ni pesa ya ada au

Ndipo hapa akili zako zilipofikia kiupeo, kumbe nachati na jinga jinga lisilojielewaPole sana ulibet sh ngap? Ilikua ni pesa ya ada au

Hata ichezwe dk 340 wanakufa tena pale pale uingerezaMi ni Chelsea fan mwenzako lkn penye ukweli huwa sipindishi, hata hivyo bado marudiano dkk 90, so kuwa mpole tu.
Hata ichezwe dk 340 wanakufa tena pale pale uingereza
Pole sana kwa kupoteza,jaribu tena wkendNdipo hapa akili zako zilipofikia kiupeo, kumbe nachati na jinga jinga lisilojielewa![]()
Pole sana kwa kupoteza,jaribu tena wkend
Pole sana kwa kupoteza,jaribu tena wkend
Liva hamna kitu mulee..bado sana kupambana na timu za Spain hata ingekua Sevilla au atm mambo yangekua haya haya tu....
Rudini mkakipige na kina Cardiff cty, Huddersfield na takataka nyingine..
Ndugu yangu katika maprnzi ya soka,pole sana kwa kupoteza mechi dhidi ya Barcelona.Ningependa kuongea machache tu kuhusu analysis yangu kuhusu mchezo wa leo.Barcelona walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kumiliki mpira na kuzuia mashambulizi yaliyofanya na liverpool lakini waliruhusu kushambuliwa kumruhisu liverpool atanuke manake traditionally all liverpool players like to play behind the ball.Walishastudy mechi nyingi za liver na man city na siku zote weakness ya Guardiola ni kumiliki mpira hivyo kuwapa mwanya liver wakushambulie na kukufunga watakavyo kwa mashambulizi ya kustukiza na pia kucheza nyuma ya mpira.Kitendo cha barca akiwa nyumbani kumuanzisha Vidal ilikuwa ni alarm tosha kabisa kwa Klopp kuchange game plan kwa sababu barca wawapo nyumbani huwa ni offensive minded lkn leo waliweka viungo wawili wakabaji kwenye dimba la nyumbani.Kiujumla liverpool hakustukia huo mtego akaingia kichwa kichwa akacheza kama barca walivyotaka acheze kilichotokea umekiona.Ebu ingia Goal.Com ss hv kwanza uangalie match statistics u screenshot kisha uambatanishe hapa kisha uone jinsi gani wewe ulivyo kilaza kuliko mimi maana naona unaongea kichuki bila uhalisia
www.barcablaugranes.com
Wacha weeView attachment 1085949
Ni ngumu sana kuja muambia my son miaka ijayo kwa stats hizi tulipoteza game hii!
Hakika team nzuri uwanjani imepoteza mchezo na ndiyo soka tunarudi Anfield kwa mechi ijayo!
Wacha wee.... Rahisi vileMechi ya marudiano Liverpool 4 - 0 Barcelona, hii iwekwe ktk kumbukumbu ili Mawatu yaaibike vzr.
Guys dont be surprised kusikia from Xavi, Iniesta or Pique how Mane, Salah, VVD would be suitable to play for th Catalans or even suggesting offer for any of th above is being prepared...
Spain team are masters of mind games using former or current players n thier gossip newspapers just to unsettle our team..
Cant picture th atmosphere for th return game at th Kops...Barca il shiver.
Kesho Barca akitufunga basi naaomba nipigiwe life ban humu.
Ninaiamin team yangu, nimefatilia mechi zake zote msimu tofauti na misimu iliyonipita.
Added advantage ya wachezaj wetu wote ni kuwa wana defensive skills, yani si Mane, salah, Firmino mpaka backline wote wana uwezo mkubwa wa kukaba na kuzuia mashambulizi.
Funny thing, kule barca sijaona beki ya kuzuia mbwa mwitu wetu Salah Mane Firmino... Nakwambia tutaenda kupiga hawa wahuni wa Camp nou mpaka wachakae.
Nawahakikishia kuwa, Liverpool ndiyo team kubwa duniani kwa sasa, No one wants to face the reds. Tena na hivi tuna hasira za Man city kutuchefua huko EPL.
Hii club wapumbavu wengiFinal round vs Ajax/Spurs is ours
The self claimed Liverpool Halisi musiwe na wasi hii mechi munashinda
Bange mbaya sanaMechi ya marudiano Liverpool 4 - 0 Barcelona, hii iwekwe ktk kumbukumbu ili Mawatu yaaibike vzr.