Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,681
Dogo alipata ufunuoBado naiwazia ile kona ya TAA... huyu dogo kumamae wallah... Yaani aliiwahi kimachale then akainyoosha utafikiri katumia rula. Barca wakashtuka tu kitu kiko nyavuni.
Mi nadhani bado naota. Si bure

