Bugududu Sududu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2014
- 600
- 700
Njoo mazima ila usiwe mamlukiHONGERENI LIVERPOOL
Imenibidi niwe shabiki wa Liverpool angalau kwa masaa 24 tu!

Njoo mazima ila usiwe mamlukiHONGERENI LIVERPOOL
Imenibidi niwe shabiki wa Liverpool angalau kwa masaa 24 tu!

HahahahahahahahahhahahahahahahahahHahahahahahahahaha mtagi domo kayaaaaaaa
The greatest comeback of all times in the UEFA CHAMPIONS LEAGUE HISTORY.View attachment 1091274View attachment 1091275View attachment 1091276
Mimi Man U damu. Ila siwezi kulala bila kuwatakia Liverpool shukurani kwa kazi nzuri ya kufuta Barcelona UCL. Nilikerwa na kelele za mashabiki wa Barcelona wanaojiona timu yao ni perfect. Hongera sana Liverpool.
Man U fan.
Leo nimeamini uchawi upo.
Aisee
Ndio hapo Mungu anakuambia unapokata tamaa kabisa,pray!..nimejifunza kitu ktk haya matokeo leo.ha ha haaa
Mkuu Siku zote Mungu huwa ashindwi..Hahaha, Mzee wa Liverpool Fake wana Shetani, sisi Liverpool HALISI tuna Mungu.
Naona waliosemwa wana shetani kama wanaelekea kushinda.





AminaMola Wanguuu Tunakushukuruuuu Bila Wewe Siye Si Kitu Tunasema Tenaaa Ahsanteeeee Ahsantee Baba
mzee baba una imani kubwa sana..Tuendeleee kushona suti wakuu! Kwanza tunaanza wa kumuuwa babu yao Barca leo kwa comeback ya kufa mtu
Jumapili tutamchinja Wolves huku Brghton akifanya yake.
We never gonna stop, we never quit. #YNWA
Lile goli la nne bana, sijui Barca walizubalia nini mpaka TAA akawagundua. Hilo goli linaonyesha jinsi Barca walivyo wa kawaida mno
ImewezekanaaaaGame ya leo Firmino na Salah kutokuwemo inauma aisee.
I wish tulinde heshima ya Anfield kutofungwa home, sijui kama itawezekana.



