Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hakucheza chochote barca sema tu walitembelea bahati lkn hata technically bado walishikiliwa na Liverpool kila idara kipindi cha pili
Leo goal yao kubwa ilkua n pts 3 na ndo wamefankiwa.....
Mpira tactees bro....
Ndo maana kocha anakuepo kuelekeza kwmba leo kifanyike nn kulngana na timu 2nayocheza nayo.....
Ingekua mfumo wa barca ni dynamic bas wangepgwa na tim kbao et
 
Hakucheza chochote barca sema tu walitembelea bahati lkn hata technically bado walishikiliwa na Liverpool kila idara kipindi cha pili
Kweli wew sio mfuatiliaji wa mpira

Ulizingalia game za barca vs madrid...

Ile ya copa delaray na ligi?? Uliona nin
Barca hii inayochezewa mpira ni hatari zaida kuliko barca inayocheza mpira mwingi wa pasi. Kaangalie hata game na Lyon halafu urudi hapa kubweka
 
Nilivyoangalia game ya barca na madrid unaona barca anafungwa dk yoyote lakin cha ajabu magoli anafunga yeye...

Barca hii inayoonekana kama inafungika dk yoyote ni hatari sana aisee..nimekubali
 
Ebu ingia Goal.Com ss hv kwanza uangalie match statistics u screenshot kisha uambatanishe hapa kisha uone jinsi gani wewe ulivyo kilaza kuliko mimi maana naona unaongea kichuki bila uhalisia
Kweli wew sio mfuatiliaji wa mpira

Ulizingalia game za barca vs madrid...

Ile ya copa delaray na ligi?? Uliona nin
Barca hii inayochezewa mpira ni hatari zaida kuliko barca inayocheza mpira mwingi wa pasi. Kaangalie hata game na Lyon halafu urudi hapa kubweka
 
Au nielekeze mimi namna ya kuambatanisha hizo screenshots hapa kisha nikuaibishe jinsi gn hujui kuongea ukweli kuliko mahaba yako ya Barcelona

Statistics za nini sasa...wakati mim nakuambia barca inayozidiwa kwenye statistics ni hatari zaid kwenye matokeo kuliko barca ile ya pasi nyingi,.
 
Hakuna cha hatari yoyote kaka zaidi ya kuwa na bahati tu, hv unataka kuniambia kiuhalisia ile nafasi aliyoikosa Salah ikapiga mwamba angeikosaje Suarez?

Washambuliaji wa Liverpool hawakujiamini tu lkn hii mechi ingeisha hata 3-2
 
Au nielekeze mimi namna ya kuambatanisha hizo screenshots hapa kisha nikuaibishe jinsi gn hujui kuongea ukweli kuliko mahaba yako ya Barcelona
Wew unataka screenshot za nini? Kuna aliekubishia kuwa kwenye takwimu liva kamzidi barca??

Takwimu zina msaada gani ukipoteza mchezo?

Baada ya miaka mitano hakuna anaekumbuka takwimu za mchezo husika watu wanayakumbuka matokeo ya mwisho
 
Hakuna cha hatari yoyote kaka zaidi ya kuwa na bahati tu, hv unataka kuniambia kiuhalisia ile nafasi aliyoikosa Salah ikapiga mwamba angeikosaje Suarez?

Washambuliaji wa Liverpool hawakujiamini tu lkn hii mechi ingeisha hata 3-2
Kwanini bahati iwe kwa barca tu na sio Liverpool?
 
Basi kubali kuwa Barca hakukutana na forwards makini leo hii lkn laiti angekutana nao kama akina Didie Drogba wa enzi zile angekaa mapema tu, so ni bahati tu wala haina uhatari wowote
Wew unataka screenshot za nini? Kuna aliekubishia kuwa kwenye takwimu liva kamzidi barca??

Takwimu zina msaada gani ukipoteza mchezo?

Baada ya miaka mitano hakuna anaekumbuka takwimu za mchezo husika watu wanayakumbuka matokeo ya mwisho
 
Basi kubali kuwa Barca hakukutana na forwards makini leo hii lkn laiti angekutana nao kama akina Didie Drogba wa enzi zile angekaa mapema tu, so ni bahati tu wala haina uhatari wowote
Unajua salah,mane na bobby wana goli ngap msimu huu?
Unaweza je kusema ni forward butu wakati kwenye ligi tano kubwa wao ndio utatu hatari zaidi?
 
Salah leo hakuwa makini tu ktk umaliziaji lkn ss hv ungekuwa unakoroma tu kwa ile nafasi aliyogongesha mwamba wala si vingine

Pia Barcelona wamebebwa sana kwa rafu walizowachezea Liverpool leo hii, hv ile rafu aliyocheza Vidal kwa Sadio Mane isingekuwa kadi ya njano au nyekundu laiti angechezewa Messi au Suarez?
Unajua salah,mane na bobby wana goli ngap msimu huu?
Unaweza je kusema ni forward butu wakati kwenye ligi tano kubwa wao ndio utatu hatari zaidi?
 
Salah leo hakuwa makini tu ktk umaliziaji lkn ss hv ungekuwa unakoroma tu kwa ile nafasi aliyogongesha mwamba wala si vingine
Liva hamna kitu mulee..bado sana kupambana na timu za Spain hata ingekua Sevilla au atm mambo yangekua haya haya tu....

Rudini mkakipige na kina Cardiff cty, Huddersfield na takataka nyingine..
 
Mi ni Chelsea fan mwenzako lkn penye ukweli huwa sipindishi, hata hivyo bado marudiano dkk 90, so kuwa mpole tu.
Liva hamna kitu mulee..bado sana kupambana na timu za Spain hata ingekua Sevilla au atm mambo yangekua haya haya tu....

Rudini mkakipige na kina Cardiff cty, Huddersfield na takataka nyingine..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom