wewe na mimi hatuchekani[emoji3]Kwa kweli tuwape pongezi kwa come back nzuri na itabaki kwenye historia milele gud job Liverpool laiti jitihada hizi zingekuwa zinafanywa na chama langu la arsenal ingependeza zaidi
uzuri wa utofauti wetu na team nyingine ni huwa hatutabiriki.......Hongereni sana Liverpool,wengi hatukutegemea. what a come back!
Ggmu.