zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,322
- 9,771
Usije baadae ukasema CL ni kombe la sungura, taja kabisa aina ya kombe la Ng'ombe ni lipi na la Mbuzi ni lipi?LIVERPOOL MSIMU HUU HACHUKUI HATA KOMBE LA MBUZI
Ni swala la muda tu
Usije baadae ukasema CL ni kombe la sungura, taja kabisa aina ya kombe la Ng'ombe ni lipi na la Mbuzi ni lipi?LIVERPOOL MSIMU HUU HACHUKUI HATA KOMBE LA MBUZI
Ni swala la muda tu
Babu umei promot K-vant umesababisha jana nimeinywa hadi sauti imepotea mpaka mda huu, imeunguza kabisa spika kooni, maamae,fala sana, ona sasa naumwaAhsante sana mwalimu Kashasha. Tutafutate tumalizie kiporo cha jana cha K Vant. Jana nilifakamia za kutosha mpaka nikasaza.
Mimi ni Liverpool HALISI.Hahaha, timu imepata washabiki.
Umekuja msibani ukakuta sherehe, umebadili gia angani.
Yani wewe katika Wachawi ni Namba moja! Yani kwenye Prematch Liverpool ipo chini, Lakini kwenye Post match Liverpool ipo juu. 😀😀
Lakini nitakusubiri tu pale Kariako kikubwa nikulia Timing tu nijue kama utapita Sokoni au Mtaa wa Nyamwezi.




FRANTRICEWorry out. Na jina naweka kabisa.
Mimi ni Liverpool HALISI.
Hahahaha pacha umenifurahisha!!!! Habari za siku mingi?Mimi ni Liverpool HALISI.
Babu umei promot K-vant umesababisha jana nimeinywa hadi saiti imepotea mpaka mda huu, imeunguza kabisa spika kooni, maamae,fala sana, ona sasa naumwa
Hahahaha pacha umenifurahisha!!!! Habari za siku mingi?



pacha huku kuna Liverpool HALISI na Liverpool jina kama King Ngwaba.Hahahaa ,mi tumbo bovu babu asprin ,k- vant zinakwangua utumbo, nakunywa juice ya miwa a.k.a. sere lite!Ahsante sana mwalimu Kashasha. Tutafutate tumalizie kiporo cha jana cha K Vant. Jana nilifakamia za kutosha mpaka nikasaza.
Hahahahahaha!!! Kumbe nimepitwa sanaaaaa!!!! Niko poa mumy hofu kwako tu.pacha huku kuna Liverpool HALISI na Liverpool jina kama King Ngwaba.
Sasa mimi ni HALISI siwezi shabikia timu moja na Ngwaba.
Salama pacha, unaendeleaje?
Aisee we jamaa umenichekesha mpaka majamaa hapa yananishangaa balaa...Babu umei promot K-vant umesababisha jana nimeinywa hadi saiti imepotea mpaka mda huu, imeunguza kabisa spika kooni, maamae,fala sana, ona sasa naumwa
Sawa mamalai.FRANTRICE
Hako kakinywaji katakupa kakitambi ka ufukara... Hako mi huwa nakatumia kumeza dawa kama nina malariaHahahaa ,mi tumbo bovu babu asprin ,k- vant zinakwangua utumbo, nakunywa juice ya miwa a.k.a. sere lite!
Nani anapenda kutembea uchi kariakoo?
Liverpool ipo juu mawinguni.

Kwani unabadili tena ahadi![]()
Hahahahahaha!!! Kumbe nimepitwa sanaaaaa!!!! Niko poa mumy hofu kwako tu.