Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaa, naona msimu huu ubingwa umewapenda, ila ombi langu moja,

Nipigieni nyumbu, wanakelele sana, mpira hana anavizia vizia counter attack ,wakati ile timu bado,

Ubingwa unahitaji na bahati. ,na bahati naona inawadondokea, kazi kwenu,

Mimi city naenda kutafuta sare, tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unataka nyumbu afumuliwe kisa kakufumua wewe..?? Liverpool hii ina draw na westham itaweza kweli kumfumua uyo nyumbu? Embu wacha chuki binafsi bwana ..wewe ni mteja wa Man united tu ..hata gemu yenu ya pili atakupiga tu. Huna pa kutokea..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Carragher kasema
IMG-20190205-WA0008.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanamuona bonge la mchezaji huyo kisa tu aligaiwa goli la mdondo na kipa wa Everton
Huwezi kumiliki wachezaji wanao lingana viwango huwezi muita bonge la mchezaji ila kwa hakiba ni mzuri mess anakosa itakua huyo ambae hna hata dakika 120 uwanjani msimu mzima?katika vitu nnavyo pinga kocha ndo hivi unakua na wachezaji 5 benchi hafu huwatumii hata kwenye matokeo mazuri unasubiri siku za shida mchezaji huyo unamtegemeaje?
Origi keshakua kama Sturreg tu hana chakupoteza anacheza anavyo jisikia Mnao mlaumu Keita siwaelewi mana mechi yake ya kwanza alicheza vyema lakini mechi iliofata kawekwa benchi hata dakika hajapewa hatuwezi jua anaelekezwaje na kocha.

Team yetu mbovu kupiti manegment.
 
Points 5 ahead sio mbaya japo ingefaa tuchukue zote tatu tuwe na points 7 ahead!
Lkn soka ndiyo ilivyo,hii imeisha tunajiandaa sasa na WHU
Tumepata sare pamoja Liverpool halisi tuache kuanza kulaumiana,hiyo tuwaachie Liverpool feki


Sent from my iPhone using JamiiForums
Liverpool HALISI katika ubora wako.

Wewe ndo unayejua kuwa klopp huwa akosei bana.

Achana na hawa FEKI, UCHWARA...

sisi HALISI tuendelee kushikamana

#MayisComing..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani wazee mnavyolalama ni kana kwamba ligi imeisha na tushashindwa. Sijui siku tukipoteza mechi patakuaje hapa asee? You have to know kwamba si kila mechi unashinda. Learn that. Man city kadrop points tena 3 dhidi ya NEWCASTLE. Man kadrop points kwa burnley. Chelsea the same. Liver ni timu ya Mungu ama mpaka isipoteze??

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na Chelsea ..wewe ukikosa ubingwa msimu huu acha kushabikia mpira kabisa, maana utajakufa kwa kugongwa na gari au presha.

Huu msimu hautajirudia tena kwenu.

Pambanieni kombe ohoo City anawa zoom tu. Spurs apoo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom