Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Now everything is over
Sawa tayari Nina msiba mmoja nasubiri na huu niunganishe misiba gharama iwe ndogo
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Kwa hiyo hapo unaomba sana itoke droo maana hamna uhakika wa kumfunga siyoDraw si msiba






Kwa hiyo hapo unaomba sana itoke droo maana hamna uhakika wa kumfunga siyo
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Point tatu haziwataki na msipokuwa hata hiyo moja mnaikosa.Uhakika wa kumfunga upo! We'll fight till the last drop



Duuh ushabiki ni kazi, kama nakuona vile mkuuOh my God! 5 minutes to go
tumeelekezwa nyumba hii ina msiba tuanze kulia au tusubili kwanza maelekezo ya mwenye nyumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu VIP lakini ukicheki hali ya mgonjwa atasurvive kweli au nivute vute subira??Umekosea nyumba! ni mtaa wa Darajani ndiyo kwenye msiba