Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hivi hawa jamaa walivyokwenda Dubai ilikua mazoezi au kujurusha ni kama sijawaelewa ndani ya Anfield hali inakua hivi...

this is not good enuff guys
Salah was not at his best.

Firmino so so.

Mane was our best attacker.

VVD anaonekana ni kama amechoka, which is understandable ukifikiria game time aliyo cover.

Keita leo kidogo kajitahidi lakini bado.

our best CB partnership ni VVD-Gomez.

going forward, nahodha nadhani aendelee kule kule alikocheza leo asirudi engine room.

...but why Adam f...g Lallana lakini? bora Origi mara 100!
 
Look at this

View attachment 1008491

Liverpool ana points 80
Man City
ana points 71

But Liverpool ana michezo 35
Man City
ana michezo 33

Hapo utaona tofauti ya points ni 9

Man city baada ya kukamilisha Viporo vyake Viwili alifika points 77

Hapo ikawa the real points kutofautiana kwao ni points 3.

Sasa hapo watu wanasema kuwa Mancity tulimuacha kwa points 9 lakini akatupota na kubeba ubingwa ikiwa imebakia michezo 3 tu,
Wakati ukweli halisi hapo ni kwamba ni points 3 tu na sio 9.

Lakini Mara hii ngoma ni different, tukishinda leo tutampita kwa points 7 safi huku tukiwa sawa kwa Michezo! That is why ninasema we'll be a champion of EPL 2018/19
Too early... Don't jinx

I hope you understand
 
kabisa Mkuu leo bana ni ngumu kuelewa ni kama raudi ya kwanza Carabao sio EPL,

bora City angeshinda jana pengine wangejituma kubakisha gepu ya nne kuliko hii perfomance ya leo nyumbani...

kwa timu tunayotaka ubingwa baada ya kuukosa 29yrs hatuwezi kucheza hivi guys...


Salah was not at his best.

Firmino so so.

Mane was our best attacker.

VVD anaonekana ni kama amechoka, which is understandable ukifikiria game time aliyo cover.

Keita leo kidogo kajitahidi lakini bado.

our best CB partnership ni VVD-Gomez.

going forward, nahodha nadhani aendelee kule kule alikocheza leo asirudi engine room.
 
Our team selection, our substitutions today did not reflect of a team wanting it.

If we keep it this way, we will soon create a big pressure to ourselves.

I hope everything goes well in our left games. Otherwise we will kiss our asses.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom