Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
rotation ipi mkuu??Imefika mahala liverpool hawawezi hata kufanya rotation ya baadhi ya wachezaji ....wamechoka pia wale..droo zikizidi kinachofuata ni kufungwa
yani Firmino na Salah wakae nje halafu Origi na Sturridge ndo waanze?? kumbuka hii ni lala salama ukipoteza points round hii ndo zimepotea hivyo hakuna marudiano tena.
Liverpool kwa sasa hakuna timu ya kufanya rotation labda wale waliomajeruhi wakirudi unaweza ukasema kitu.
ni Shaqiri pekee anaeweza akatokea nje na akakupa kitu kwa Liverpool ya sasa.


