The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,503
kocha anaweza kukypa ubingwa either direct or indirectRAFAEL BENITEZ MAUDES.
RAFA B hii ni inderict.
Sent using Jamii Forums mobile app
kocha anaweza kukypa ubingwa either direct or indirectRAFAEL BENITEZ MAUDES.
THIS IS LIVERPOOL SEASON..........hahahahahahahahaha
Naona Newcastle anawatengenezea mazingira ya ubingwa msimu huu,sasa mshindwe wenyewe.
Tuendelee kushinda mechi zetu tu kama sisi Kop. The rest will sort it self outHii kauli yangu huwa Ninaisema maranyingi....
Liverpool ni bingwa wa EPL 2018/2019
City yupo na Arsenal, Chelsea then Westham next.
Tushinde tu zakwetu wao wapambane na hali yao
Kesho ni fainali, tutafia uwanjani!

Game za muda huu hatutakiwi kujali even ugly win hata kufungia tumbo muhimu 3 points![]()
hapo kuna pointi 4 anaziacha mapema tunapata another gap
Hahaa, naona msimu huu ubingwa umewapenda, ila ombi langu moja,Itakapotokezea kueka gape la points 10 kwa hawa vijana wa Man City mbona tuandae parade tu ya viunga vyote vya jiji la Liverpool...
Siku hiyo mpaka miti itakuwa Red.
Mnatudharau , subirini tumsimamishe kwanza, hiv mnadhan kila siku matatizo yangu yatakuwa hayo hayo, ?Mkuu hizo points atakazopoteza kwake lakini sio kwa Arsenal hii ninayoijua Mimi..
not so fast, chief.Hii kauli yangu huwa Ninaisema maranyingi....
Liverpool ni bingwa wa EPL 2018/2019