Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tumefanya kosa moja la kimchezo golini petu lakini lesta hawakuweza kuconvert their chance
 
Yani Maguire kamzuia kabisa asimdrible then anatokea Boya from nowhere anakwaambia Salah anadive 😡
 
Mabeki wamecheza offside trick kimakosa wakisahau kuwa kuna Maguire hakuwa kwenye offside position
 
Hata hivyo timu inacheza vizuri tu isipokuwa katika attacking Midfield tumekosa creativity jambo ambalo linawafanya Bobby, Mane na Salah kushuka chini kuja kutafuta mipira
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom