Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

same to Leicester na Westham wapo level nyingine kabisa
Acha shobo chief nilishakuambia usini quote wala sikufahamu naona unaleta ubolizuzu.

Nyie ndio mamluki mnadandiaga team za watu. Ulikuwa wapi siku zote?
 
Naweka akiba ya maneno.
Wale wapiga ramli ambao walitusumbua sana mwanzoni mwa msimu mpaka kufikia katikati, sasa wamerejea kwa kasi ya 4G.
Wanaoongoza kwa kupiga ramli kwenye hili jukwaa ni mashabiki wa Liverpool..!
Ila wapinzani wenu nao hawako nyuma katika upigaji ramli,mashabiki wa Liverpool wakipiga ramli,basi na wapinzani nao wanapiga ramli kuhakikisha mnaenda sambamba katika zoezi hilo..!
 
Acha shobo chief nilishakuambia usini quote wala sikufahamu naona unaleta ubolizuzu.

Nyie ndio mamluki mnadandiaga team za watu. Ulikuwa wapi siku zote?
kama hutaki nikukot nilikuambia uni_ignore, me pia sikufahamu vile vile....kiukweli napenda kushobokea nipo ivo yan

hii komenti yako inaonesha wazi kabisa kuwa wewe si mtu wa mpira....umejisahaulisha kabisa hujui kama utani ni sehemu ya mpira wenzio mbona wanatembea ktk nyuzi za timu nyingine kuwatoa mapovu kwa timu zilizofanya vibaya.

REMEMBER PAL #YNWA
 
Come on man kuna utani na bullying/harassment. Kwanini umeni target mimi mda wote?
 
Imefika mahala liverpool hawawezi hata kufanya rotation ya baadhi ya wachezaji ....wamechoka pia wale..droo zikizidi kinachofuata ni kufungwa
 
Come on man kuna utani na bullying/harassment. Kwanini umeni target mimi mda wote?
una uhakika kwa hili ulilosema hapo??

hebu kuwa mshabiki wa mpira, acha hizi mambo za kususasusa kama mtoto wa kike sio lazima ujibu kila kitu tulia kimya fanya biznes zako....akina Don, Ed na King na wengine wengi wote hao nimewakot jana kama nilivyofanya kwako

na kwanini uteseke??
 
Acha shobo chief nilishakuambia usini quote wala sikufahamu naona unaleta ubolizuzu.

Nyie ndio mamluki mnadandiaga team za watu. Ulikuwa wapi siku zote?
Chief...
Unapokuwa na mafanikio sana basi tambua unaongeza na idadi ya maadui...
Kipindi ambacho utawaona maadui zako waziwazi ni kipindi kile unapokutwa na changamoto zinazotishia mafanikio yako..!
Msimu huu Liverpool imekuwa na mafanikio sana kwenye EPL,mashabiki wa timu pinzani hawalifurahii jambo hilo...
Hivyo basi kwakuwa mashabiki wa timu pinzani huwafurahi kuona Liverpool inatakata pale Uingereza,wakiona Liverpool inapata matokeo mabovu ni lazima wafurahi na lazima wakuoneshe kuwa wanafurahia anguko lako..!
Kwahiyo Kiongozi,usishangae ukiona mashabiki wa timu pinzani wanakuja humu kuongea mbofumbofu pale mnapopata matokeo mabaya,usichukie pia..!
Ni mtu mnafiki pekee anayeweza kufurahia mafanikio ya adui yake..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom