Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
kabisa Mkuu leo bana ni ngumu kuelewa ni kama raudi ya kwanza Carabao sio EPL,
bora City angeshinda jana pengine wangejituma kubakisha gepu ya nne kuliko hii perfomance ya leo nyumbani...
kwa timu tunayotaka ubingwa baada ya kuukosa 29yrs hatuwezi kucheza hivi guys...
Na ukumbuke hatuko kwenye hayo mashindano ya EFL na FA, ungetegemea tuwe tumepumzika vya kutosha.
