Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Endelea kuamini hivyo hivyo. Ujanyimwa kuamini..

Toka tofauti ya point 7 mpaka point 3 ni big improvement kwa liverpool

Hivyo wewe endelea kuamini.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app

Kwani kabla ya Man City Kumpita kwa Points 7 yeye alikuwa Katupita kwa ngapi?

Inawezekana umesahau kuwa Man City aliongoza ligi kwa Miezi 5 mpaka tukaja tukampita December baada ya kufungwa na Chelsea.

Sisi tumeongoza Ligi miezi miwili tu December na January.. Sasa kusema kuwa tumeoongoza ligi muda mrefu na tunafeli mwishoni sijui munamaanisha nini? Wakati Man city kaongoza ligi from August to December hamuoni kuwa ndiye aliyeboronga.

Kwahiyo kama ni ubovu basi na Man City aliyesubiri mpaka tukampita Kwa points 7 naye ni mbovu.

Hizo 3 zilizobakia basi zitarudi tena kuwa 7 lakini Man City hatozifikia.
 
Imefika mahala liverpool hawawezi hata kufanya rotation ya baadhi ya wachezaji ....wamechoka pia wale..droo zikizidi kinachofuata ni kufungwa
Wanachokaje na kwenye michuano mingi ukiondoa Champioship hawapo?
 
May 12 tunasherehekea Ubingwa ndani ya Anfield.
Here we go..................

February
√ 9 – Bournemouth (H)
√ 24 – Manchester United (A)
√ 27 – Watford (H)

March
√ 3 – Everton (A)
√ 10 – Burnley (H)
√ 17 – Fulham (A)
√ 31 – Tottenham Hotspur (H)

April
√ 6 – Southampton (A)
√ 13 – Chelsea (H)
√ 20 – Cardiff City (A)
√ 27 – Huddersfield Town (H)

May
√ 4 – Newcastle United (A)
√ 12 – Wolverhampton Wanderers (H)
 
Is better ikiwa hivyo mkuu, japo sikuona upana wa kikosi kiasi kwamba tushindwe kusajili january plus loaning the best option rb. Then for this mojo hatuwezi kua upande wa gaffer kibwege tu eti atafanya maajabu wakati kachezea almost three rare golden chance to kill our main opponent since january 3
Kwani kabla ya Man City Kumpita kwa Points 7 yeye alikuwa Katupita kwa ngapi?

Inawezekana umesahau kuwa Man City aliongoza ligi kwa Miezi 5 mpaka tukaja tukampita December baada ya kufungwa na Chelsea.

Sisi tumeongoza Ligi miezi miwili tu December na January.. Sasa kusema kuwa tumeoongoza ligi muda mrefu na tunafeli mwishoni sijui munamaanisha nini? Wakati Man city kaongoza ligi from August to December hamuoni kuwa ndiye aliyeboronga.

Kwahiyo kama ni ubovu basi na Man City aliyesubiri mpaka tukampita Kwa points 7 naye ni mbovu.

Hizo 3 zilizobakia basi zitarudi tena kuwa 7 lakini Man City hatozifikia.

kote hakufai
 
Wanachokaje na kwenye michuano mingi ukiondoa Champioship hawapo?
Toka ligi ianze salah .mane .firmino .vvd..hawajapata muda wa kupumzka wala majeruhi ....wanajitoa asilimia zote ..lazima wachoke.....city kuna mda aguero anapumzka anacheza jesus..silva anapumzkaga..
 
May 12 tunasherehekea Ubingwa ndani ya Anfield.
Here we go..................

February
√ 9 – Bournemouth (H)
√ 24 – Manchester United (A)
√ 27 – Watford (H)

March
√ 3 – Everton (A)
√ 10 – Burnley (H)
√ 17 – Fulham (A)
√ 31 – Tottenham Hotspur (H)

April
√ 6 – Southampton (A)
√ 13 – Chelsea (H)
√ 20 – Cardiff City (A)
√ 27 – Huddersfield Town (H)

May
√ 4 – Newcastle United (A)
√ 12 – Wolverhampton Wanderers (H)
Hapo piga ua inabidi tushinde game 10 na sare mbili inatosha kuwa mabingwa hypothetically

kote hakufai
 
May 12 tunasherehekea Ubingwa ndani ya Anfield.
Here we go..................

February
√ 9 – Bournemouth (H)
√ 24 – Manchester United (A)
√ 27 – Watford (H)

March
√ 3 – Everton (A)
√ 10 – Burnley (H)
√ 17 – Fulham (A)
√ 31 – Tottenham Hotspur (H)

April
√ 6 – Southampton (A)
√ 13 – Chelsea (H)
√ 20 – Cardiff City (A)
√ 27 – Huddersfield Town (H)

May
√ 4 – Newcastle United (A)
√ 12 – Wolverhampton Wanderers (H)
Kauli hizi ndio zinatushushia dhahma kutoka kwa Allah
 
Hii bado sio sababu remember leicester city?, chelsea ya mourinho, je vipi madrid ya zidane 2017 wanachukua ligi na uefa ,nakumbuka mid trio walicheza game kama zote
Toka ligi ianze salah .mane .firmino .vvd..hawajapata muda wa kupumzka wala majeruhi ....wanajitoa asilimia zote ..lazima wachoke.....city kuna mda aguero anapumzka anacheza jesus..silva anapumzkaga..
Huwezi acha key players kwa rotation kwa sababu hizo

kote hakufai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom