Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hata hivyo Lesta kwa walivyocheza wanastahili draw
We nani kakuleta huku umetuletea gundu!Hadi nakuonea huruma.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.



hello from the other sideHilo hatuna wasiwasi Mkuu! Kila mtu anafahamu kuwa hii game tunashinda
Unajua kunyonyolewa wewe?Si haba point moja. Hongereni mnyenyonyolewa Leo
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.

Bora gundu ya huku imekuwa ndogoWe nani kakuleta huku umetuletea gundu!![]()

. Umeenda darajani ukaona mnara unasomaje?Sio wapumbavu mkuu... Ni muda wa kujitathmini sasa, mkiwa kama wafukuzia ndoo mngetakiwa kucapitalize kwa lose ya City ya jana! Always mpira ni WLD...Dah tumedrop points kwa wapumbavu hawa?
kabisa hii game unless Fabi anaumwo alitakiwa aanze..Mjerumani kwenye ubora wake...
Pep angeshatia mibeki miwili ndani kwa injuries hizi
lets go on tugange yajayo.
1 point better than lose all.
Sent using Jamii Forums mobile app
4GBora gundu ya huku imekuwa ndogo. Umeenda darajani ukaona mnara unasomaje?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.


hello how are you?Tunashinda wakuu kuweni wapole
Bora gundu ya huku imekuwa ndogo. Umeenda darajani ukaona mnara unasomaje?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Come man, be positive. One point against Leicester who beat both Man City and Chelsea is huge man!Kwanza nafuta kwa Muda hile kauli yangu ya kuwa LIVERPOOL NI BINGWA WA EPL 2018/2019 coz naona hali si shwari
na si shwari kabisa we are damn lucky hata hii pointi moja leo...Kwanza nafuta kwa Muda hile kauli yangu ya kuwa LIVERPOOL NI BINGWA WA EPL 2018/2019 coz naona hali si shwari