DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Nimeangilia kwa makini sana,Kama umeangalia game sidhani kama unahitaji kujibiwa hili swali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeangilia kwa makini sana,Kama umeangalia game sidhani kama unahitaji kujibiwa hili swali.
Lovren anachelewa sana kureact na anajisahau muda mwng...yy ndo alikua anamkabia TAA lkn mipira iliyokua inapigwa kutokea ule upande VVD ndo alikua anaiokoa ad anafoka...
Goli la kwanza kachelewa kushtuka kua ana foward nyuma yake...goli la pili TAA hayupo lkn badala yy atanuke kulia coz bado kulikua na kiungo ambaye angekuja kuziba nafac yake cha ajab yeye akakatalia kat...
All in all mejitahid, bado mpo kwenye race ya ubingwa, iwapo klopp ataacha kuwakumbatia waingereza, pale kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia wewe tutakuitia man cityWakati huo gooners inashikilia nafasi ya ngapi???
Mkuu hawa ni wa kupuuza tuAmani kwako mkuu....yaani watu wana balaa yaani wanajiona wanajua kuliko kocha anayeshinda na wachezaji muda mwingi na kujua strength na weakness zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooo poleni Sana ila ndiyo matokeo.Kwasababu niliandika comment ya kutilia mashaka kuwa hatuwezi shinda ndiyo kanambia sijui mpira
Kwahiyo yeye aliyeamini kuwa lazima tunashinda kwakuwa eti anaaamini Klopp ni kocha bora kuliko Guardiola ndiyo kaniambia sijui kitu.
Sasa nadhani matokeo ndiyo hakimu ya kuwa nani anajua mpira na nani hajui kati aliyetilia mashaka kuwa game hatushindi na yule aliyejiaminisha kuwa ana bonge la timu la kumfunga Man City
Chelsea shit hawez tufunga tena anfield kufungwa na mancity kusiku brainwash ukaona tunafungika kirahisi leo yenyewe mancity walikuwa wanaomba mpira uishe tena kwa mara ya kwanza naiona mancity inapoteza mda utapigwa kipigo cha mbwa koko anfield wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa mzima kweli?
Inabidi ajue hizo midfielder zenu hapo juu hazipati namba hata hapo Tottenham, mna mido za kawaida mno na ndio maana nawashangaa wanaomponda Klopp maana ni sawa na mtu anayepita katika moto lakini haungui.
5-1 mkuu, naona kwako kuna sherehe lakini umeacha kwako unaenda kusherehekea kwa jirani, hii ni dalili ya sherehe yako kukosa mvuto, au ndio blaza nipigie?
Ngwaba unazingua sana kuna watu wengine sio wa QUOTE kabisa Mkuu unaachana naoKuna Siku nilikuambia kwenye mpira unachokijua ni kimoja tu kuleta Stats za Mo Salah na za Hazard!
Ukajifanya kubisha
Lovren anachelewa sana kureact na anajisahau muda mwng...yy ndo alikua anamkabia TAA lkn mipira iliyokua inapigwa kutokea ule upande VVD ndo alikua anaiokoa ad anafoka...
Goli la kwanza kachelewa kushtuka kua ana foward nyuma yake...goli la pili TAA hayupo lkn badala yy atanuke kulia coz bado kulikua na kiungo ambaye angekuja kuziba nafac yake cha ajab yeye akakatalia kat...
All in all mejitahid, bado mpo kwenye race ya ubingwa, iwapo klopp ataacha kuwakumbatia waingereza, pale kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Karma is a b*tch
We stop their unbeaten show last season, they did to us this season
Hahaaaaa na ume-bold kabisa umalize utata wake![]()