lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,201
- 28,086
Mkuu kwanza Naomba utofautishe Kuponda na Kukosoa.
Then utafahamu kuwa hatupondi Bali tunakosoa..
Asiyetaka kukosolewa ni Jiwe pekee.
Turudi kwenye Mada.
- Hivi mwenye wajibu wa kusimamia wachezaji na kujua udhaifu wao ni nani Kocha? Magazeti?
- Sasa kama Mido yetu ni mbovu Je tukamlaumu Raisi Magufuli?
- Sasa unatushangaa nini Kumlaumu Klopp wakati yeye ndiye responsible wa Performance ya timu?
- Kama Mido ni Mbovu basi yeye kama Kocha atafute iliyo nzima kwani ndiyo Jukumu lake.
Poleni mkuu,nafikiria mngepata zile midfielder zetu hapa Herrera,Matic pembeni Pogba,msingekamatika. Akina Mane wangekula na kusaza.
