Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

King kwa tabia yako yako ya kuunderlate wachezaji baadhi hata kma tungeshinda utalalamika tu lovren kacheza vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app

Kushinda game hakumfanyi garasa awe Messi.

Hata hivyo mbona nakubali kuwa Lovren ni Man of the Match Jana.

Kaupiga mwingi tu Mkuu mpaka kamficha Aguero hakufurukuta
 
Kushinda game hakumfanyi garasa awe Messi.

Hata hivyo mbona nakubali kuwa Lovren ni Man of the Match Jana.

Kaupiga mwingi tu Mkuu mpaka kamficha Aguero hakufurukuta

HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHHAHAHA
 
Nyie ndio washabiki msiojielewa humu ndani.

Pumbavu zako Hendeson, Milner na Lovren hamstahil kuwa Club kubwa kama Liverpool.

Huyu Mbwa Klopp nawaambia hivi akiendeleza ukenge wa kuwalinda wachezaj wapuuzi type ya Henderson walah tutazeeka humu hata kikombe cha chai hatujabeba.

Haiwezekan mechi ndogo utupangie Fabh, Shaqir- keita alaf mechi kubwa kama ya City utupangie mbweha hawa Milner Hendo.

Hawa wapuuz walkuwa nusu watucost Uefa dhid ya Red star. Tukastruggle sana had mechi ya mwisho na Napoli.

Je huyu Klopp ni kiziwi au kipofu asiyeona hayo? Huyu mzee asipoangalia ipo siku ataishia kwa aibu zaid ya mourinho.

Mkuu bora ukubali kunyamza tu hii hali tumeshaizoea
 
ki ukweli mechi nyingi anazopotezaga Klopp tangu ahamie Majogoo ni Jan n Feb yaaani hapa ndio kutulia sana historia hii isijirudie msimu huu, gepu hii inabidi kui maintain maana huyu City atapigika tena na hata sisi tukicheza kama jana vipigo vinatuhusu...

jana was really pathetic.

if you ask me, City were nothing special today

we just hand it to them

simple, really
 
I'd have reacted so quicker in the first half kama ningekuwa Klopp,

But today nimeona maajabu makubwa sana kutoka kwa Klopp tangu aje LFC, he changed the entire formation katika dakika ya 57 , from 433 to 4231

we all know, jinsi gani Klopp huwa ni stubborn katika ku-make changes mapema let alone changing the entire formation and Shape..

if anything, this shows kuwa the end of that Talent-less midfield is so near..
Ile line-up dhidi ya Arsenal ingewasaidia kupata angalau draw, lakini hii ya kumkabidhi Henderson aamue as a CMF mechi kubwa kama hii was a big mistake aliyofanya Klopp.
 
Ile line-up dhidi ya Arsenal ingewasaidia kupata angalau draw, lakini hii ya kumkabidhi Henderson aamue as a CMF mechi kubwa kama hii was a big mistake aliyofanya Klopp.

honestly, nilikuwa nimekubaliana na Klopp approach, ya kuweka a Mid-block, klopp went for a draw today hence played that Midfield, but the plan back-fired massively man, it was so embarrassing chief.
 
The weakest link ilikuwa kwa Lovren, midfield trio ya Hendo na Milner lacks creativity zaidi ya kuongeza presha kwa mabeki na njaa kwa front three

Huwa tunasema GINI-HENDO-MILNER hawawezi hata squad player wa Barcelona.

Na Salah-Firmono-Mane hawawezi kupata namba kwa Barcelona

Basi kuna mshabiki bora kila baada ya Mechi ttunayoshinda anakuja na comment ya Mipasho hapa kupinga kauli yetu hiyo.

Points zake hi hizi:
  • Front three wetu Salah-Firmino-Mane wanacheza panga pangua Barcelona kwa kuwaweka bench Messi-Suarez-Dembele.

  • Midgielders wetu Gini-Hendo-Milner wanacheza panga pangua Barcelona kwa kuwaweka Bench Busquet-Vidal-Arthur.
Kwahiyo anaamini kuwa Wachezaji wetu ni Bora kuliko Kikosi kizima cha Barcelona.

Huku akisahau kuwa aliyekuwa Mchezaji wetu bora COUTINHO basi kwenye kikosi cha Barcelona ni Mchezaji wa Sub.

Sasa mtu kama huyu anatwambia hatujui mpira.
 
just play Fabinho, kwenye games zote now as 6, Hendo should be a late sub kwenye 8 role as Keita need to come in now

need to play our best team from now on
Henderson n Milner shold b bench warmers from now henceforth....

they were overrun tym n tym again, th balls couldnt reach th front three,they couldnt even protect th back....

Fabi should be there permanently with Gini.

Klopp being stubborn as he is has no option bt to drop th guys.
 
Uko sahihi kusema kuwa Man City alipigwa na Chelsea na Fernandinho akiwepo uwanjani,lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Fernandinho ndio injini ya Man City.
Mechi nyingi ambazo Fernandinho anakuwa hayupo uwanjani Man City huwa anashindwa kupata matokeo mazuri. Leo Liverpool amepoteza mechi,lakini tukisema Salah ndio mchezaji muhimu wa Liverpool wala hatukosei hata kama Liverpool kapoteza mechi Salah akiwa uwanjani.
MWISHO: Kumbuka kuwa Fernandinho hana mbadala ndani ya Man City,mpaka sasa Guardiola anahaha kutafuta mtu ambaye atacheza nafasi ya Fernandinho pindi Fernandinho anapokuwa hayupo fit.
Mlianza Na De bruyne maneno hayohayo akikosekana basi Citizens kwishney, sasa mmehamia kwa Fenandinho.
Na hata msimu uliopita Liver alishinda mechi tatu mfululizo dhidi ya Citizens na huyo Mbarazil yupo ndani.
Na msimu huu kachezea vichapo vitatu yumo humohumo ndani, je utaniambiaje kwa hilo...?

Acheni kukariri Citizens anafungwa tuu kama timu zingine.

Ila klopp kayataka mwenyewe tuu, sijui huyu mdudu Hendo anampendea nini aisee yani hata kwenye mechi kubwa anashindwa kujiposition na hata kuhamasisha wachezaji wenzie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom