Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

PSG twice- no goals, no assists.
Chelsea twice- no goals, no assists.
Napoli twice- one goal, no assists.
Utd once- no goal, no assists.
City twice- no goal, no assists.

Mo Salah, the big game ghost king 🍻
Is that a joke?
 
Sisi Chelsea tutakuja apo Anfield kukazia tu ushindi wa Man city...

"Still on top of the table"

Hahahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea shit hawez tufunga tena anfield kufungwa na mancity kusiku brainwash ukaona tunafungika kirahisi leo yenyewe mancity walikuwa wanaomba mpira uishe tena kwa mara ya kwanza naiona mancity inapoteza mda utapigwa kipigo cha mbwa koko anfield wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudos kwa sterling kawatesa sana unspoken hero alikuwa anawakusanya vvd na beki zake makundi makundi anapita katikati yao Robo kupanda kwake atasimulia
huyu itamchukua zaidi ya mechi 100 kuja kutufunga maana tangu ahamie Ethad hajawai kutufunga pamoja na hizo sifa zote unazompa....

Too bad tumefungwo with our own Liverpool fan Kun Aguero....

pazuri bado tupo usukani mwa ligi mpaka sasa, kazi ndio inaanza rasmi mzunguko wa pili....
 
Wewe umetazama mpira LiveScore bila shaka na si kwenye TV.

Aliosumbua leo Ni Fernandinho na Bernardo Silver
Tunatofautiana kuona ,ulivyoona wewe na Mimi ni tofauti nashukuru nilimuona sterling kwenye live score akinyoosha kundi la mabeki wa liver kama wote
 
What a solid first half performance from both teams. Both are using 4-3-3 formation but with totally different philosophies. One is creating central overloads while the other is creating overloads on the wide areas. But both teams are looking solid. #ManCityvLFC
 
Sisi Chelsea tutakuja apo Anfield kukazia tu ushindi wa Man city...

"Still on top of the table"

Hahahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsi bana yaaani wewe unamwazia Liverpool wakati Gonaz na New Manure wanakupumulia...

wakati sis tunakimbizana na City, Spurs kuchukua ubingwa na nafasi ya 2 na 3 wewe hapo mbio zako ni New Manure na Gonaz mkisaka nafasi ya 4 hivyo tuliaaaa hivyooo ulishapotea....
 
Still the right back scouser got the critics 'proof'...Involved in both goals.Clyne could have been the petfect choice for a temper game like this.Even our own narrators here dont mention his name,maybe they are scousers too!
Clyne should come back and play that position.

Up to now the great coach like Klopp must have learnt his lesson that Hendo is better when he has someone to take care of serious operations at the centre of the pitch.He is below average when playing solo


Huyo dogo majanga kinoma, yaani ule upande ambapo yupo na Galasa mwenzie Lovren ndio wametuchoma leo. VVD na Robertson hawajafanya makosa kabisa maeneo yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom