Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuweni wakweli vijana Hivi huyo TAA anamzidije uwezo kieran Trippier au Cesar Azpilicueta au Luke Shaw au Wan Bissaka

Nataka na napenda kuwa mshabiki wa Soka na sio ushabiki upofu
Wewe ni mshabiki wa Liverpool na soka kiujumla.....yaani huyu Trent umfananishe na kyle walker?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata tushinde 10 - 0 kwenye kikosi akishakuemo Hendo basi sina imani nacho

Leo ni kumpa kazi kubwa huyu mzee wa watu Milner tu..

Acheze nafasi yake! Acheze nafasi ya Hendo! Mtu mmoja acheze nafasi mbili peke yake?
Mana Hendo ni kuzunguka tu leo uwanjani.
Sasa klopp aone na wewe pia uone?una uwezo na utaalamu wa soka kuliko kocha?acha masihara basi,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata tushinde 10 - 0 kwenye kikosi akishakuemo Hendo basi sina imani nacho

Leo ni kumpa kazi kubwa huyu mzee wa watu Milner tu..

Acheze nafasi yake! Acheze nafasi ya Hendo! Mtu mmoja acheze nafasi mbili peke yake?
Mana Hendo ni kuzunguka tu leo uwanjani.
Huyo fabhino kaingia mbona na yeye karukaruka acha chuki binafsi kwa lecapitain bwana,unaacha kulaumu Trent aliyechomesha Jana unamganda hendo....dogo Trent Jana alikojoa mapeeeeeeemaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuu!!

Ahsante technology

Hivi ule mfumo wa mpira uzidi robo tatu au theluthi mbili golini utakuwa umeSUKUMWANDANI sio???
Screenshot_2019-01-04-09-19-22.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui lolote kuhusu soka!
Ni mtu mwehu anayeweza akapinga kazi za soka za Klopp
Mnatujazia server tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Amani kwako mkuu....yaani watu wana balaa yaani wanajiona wanajua kuliko kocha anayeshinda na wachezaji muda mwingi na kujua strength na weakness zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom