Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa mshabiki yeyote wa mpira ukiacha wa Liverpool ataomba Liverpool ipoteze ili ligi iwe balanced.

Ni sawa na mwaka jana wakati Liverpool anamfunga Man City kwenye EPL, kila mshabiki alishangilia.

Au ile 2004 October wakati mnamfunga Arsenal 2 - 0 kumaliza ile unbeaten run ya Invisibles.
Unbeaten run yenu imeishia ngapi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom