Tulimfatilia msimu gani? labda tuanzie hapo.
Mara ya mwisho kumfatilia ilikuwa ni 2017 lakini Dortmund walisema hauzwi lakini Klopp hakueka dau lolote.
Baada ya hapo ikaishia kuwa tetesi tu
Lakini kama una evidence yoyte kuwa Klopp alitoa dau lolote kwa Dortmund likakataliwa basi lete hapa!
Usiniambie kuwa The mirror wameandika, au Bild wameandika, au kuna mtu twitter kaandika! Liverpool haiendeshwi na Magazeti wala twittwer.
Tunayo official website yetu, tunalo gazeti (Echo) linalotumiwa na Liverpool, pia tunayo TV official inayotumiwa na Liverpool.
Tafuta humo habari kuwa Klopp aliweka hata elfu kumi kuwa anamtaka Pulisic zikakataliwa.
Tetesi hazihukumu kuwa timu imemtaka mchezaji.
Inamana kwakuwa sasahivi Magazeti yanasambaza tetesi kuwa Liverpool inamtaka Timo Werner je akienda timu nyengine utasema Klopp kamtaka Werner akamkosa?