Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kwasababu niliandika comment ya kutilia mashaka kuwa hatuwezi shinda ndiyo kanambia sijui mpira
Kwahiyo yeye aliyeamini kuwa lazima tunashinda kwakuwa eti anaaamini Klopp ni kocha bora kuliko Guardiola ndiyo kaniambia sijui kitu.
Sasa nadhani matokeo ndiyo hakimu ya kuwa nani anajua mpira na nani hajui kati aliyetilia mashaka kuwa game hatushindi na yule aliyejiaminisha kuwa ana bonge la timu la kumfunga Man City