Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tunapolalamikia Wachezaji Wabovu Huwa Tunaambiwa Hatujui Kitu!
Hivi Aguero alivyomzunguka Lovren na mpira na kufunga goli kwa Mchezaji kama Gomez anaweza kuzungukwa kweli?
Acha uzwazwa mkuu kwanini una chuki hivi kuna beki aliyekuwa bora kama cannavaro na nesta na watu walikuwa wanawageuza hakuna beki asiyegeuzwa duniani kama yupo mtaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20190104_103059_rmscr-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arnold anacheza vizuri kuliko mchezaji yoyote wa Liverpool humu uwanjani

Takriban mipira yote inayokwenda mbele anaipeleka yeye.

Robbo leo anadefend zaidi laikini Arnold hadefend chini sana bali anashambulia na ndiyomana unamuona Sane yupo free

Na asingecheza hivyo kushambulia bali ni kocha mwenyewe ndiye aliyempangia mfumo huo wa kuwa apeleke mashambulizi mbele kuliko kupaki nyuma kumkaba Sane man to man.

kwahiyo kazi ya kumcover TAA anapopanda kushambulia ni ya GINI na HENDO.

Hata Robbo Klopp akimtaka kushambulia basi hatomkaba Sterling man to man na Atapandisha mipira juu

Mukiangalia mpira jamani angalieni na Plan ya game
Yaani wewe kweli unajua mpira kwa huu uchambuzi maridhawa,yaani jitu linafunga tera kila wakati unampakazia hendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lovren anachelewa sana kureact na anajisahau muda mwng...yy ndo alikua anamkabia TAA lkn mipira iliyokua inapigwa kutokea ule upande VVD ndo alikua anaiokoa ad anafoka...

Goli la kwanza kachelewa kushtuka kua ana foward nyuma yake...goli la pili TAA hayupo lkn badala yy atanuke kulia coz bado kulikua na kiungo ambaye angekuja kuziba nafac yake cha ajab yeye akakatalia kat...


All in all mejitahid, bado mpo kwenye race ya ubingwa, iwapo klopp ataacha kuwakumbatia waingereza, pale kati

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom