Mlianza Na De bruyne maneno hayohayo akikosekana basi Citizens kwishney, sasa mmehamia kwa Fenandinho.
Na hata msimu uliopita Liver alishinda mechi tatu mfululizo dhidi ya Citizens na huyo Mbarazil yupo ndani.
Na msimu huu kachezea vichapo vitatu yumo humohumo ndani, je utaniambiaje kwa hilo...?
Acheni kukariri Citizens anafungwa tuu kama timu zingine.
Ila klopp kayataka mwenyewe tuu, sijui huyu mdudu Hendo anampendea nini aisee yani hata kwenye mechi kubwa anashindwa kujiposition na hata kuhamasisha wachezaji wenzie.
Sent using
Jamii Forums mobile app