i guess this traditional midfield iachwe tu!! it has never been productive..POSITIVE NOTES AFTER THE GAME
1. we wont be playing against City tena kwenye league this season
2. Tumebakiwa na Three games dhidi ya Top 6, 2 of them at Anfield (Spurs and Chelsea), and United away
3. I smell the end of our Brexit midfield
4. we have good run of fixtures from now on
5. The whole world wanted LFC to lose this game, shows how massive we're globally
i guess this traditional midfield iachwe tu!! it has never been productive..
Lets take each game at a time
Tunashukuru kuwa mmeendelea kushindwa kuivunja rekodi ya GUNNERS mpaka kesho.
Mlimsifia sasa mnamponda. HaaaaaahaaààHuyu jamaa sio wa kupewa dakika 90, kacheza hovyo na chini ya kiwango. Userious wa mechi hanaga kabisa siku hizi
TAA is far better than all of them
Mmmmmhhh.....ndugu unguza ukali wa maneno[emoji41][emoji41][emoji41]. Mimi nilipo angalia tu kikosi nilizima tv nikaenda kulala.Nyie ndio washabiki msiojielewa humu ndani.
Pumbavu zako Hendeson, Milner na Lovren hamstahil kuwa Club kubwa kama Liverpool.
Huyu Mbwa Klopp nawaambia hivi akiendeleza ukenge wa kuwalinda wachezaj wapuuzi type ya Henderson walah tutazeeka humu hata kikombe cha chai hatujabeba.
Haiwezekan mechi ndogo utupangie Fabh, Shaqir- keita alaf mechi kubwa kama ya City utupangie mbweha hawa Milner Hendo.
Hawa wapuuz walkuwa nusu watucost Uefa dhid ya Red star. Tukastruggle sana had mechi ya mwisho na Napoli.
Je huyu Klopp ni kiziwi au kipofu asiyeona hayo? Huyu mzee asipoangalia ipo siku ataishia kwa aibu zaid ya mourinho.
Mlidhani mtaivunja rekodi ya arsenal, mtasubiri sana.Mmmmmhhh.....ndugu unguza ukali wa maneno[emoji41][emoji41][emoji41]. Mimi nilipo angalia tu kikosi nilizima tv nikaenda kulala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunakujua bwana Malafyale ..wewe ndo shabiki bora na halisi kabisa wa liverpool ..usiwe kama hiz TAKATAKA zingine BORA MASHABIKI ..wao wanataka timu ishinde tu kila gemu as if wao ndo wanalipa mishahara ya waçhezaji..Liverpool HALISI msiwe na wasi wasi,tupo vyema sana under Klopp.
Waachieni uwanja sasa Liverpool uchwara waitukane team na wachezaji,wao kwao team inakuwa bora inapo shinda tu!
Klopp got this,ataipanga team kwa mechi zijazo.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahaaaa... Nyie wenyewe ndio wawangaji. Injinia somaaaa.....[emoji3][emoji3]Come on Reds twarudisha na kuongeza moja...hii gemu inaisha 2 liverpool, mancty 1...
ukitaka kujua kuwa liverpool ni kama vile inawakosesha watu amani angalia jinsi mashabiki wa timu nyingine walivyokuwa pamoja kushabikia kufungwa kwetu yani utadhani tumecheza na ass-anal,chel-shit na manure kwa wakati m1Inasikitisha sana kuona mkipiga kelele hapa wakati mnaemsema ndio bingwa wenu na pamoja na kupoteza mechi hii bado ndio mbabe wenu. Kufungwa haikuwa kitu mbacho hatukikitegemea sisi kama mashabiki bali obsession yenu nyie wapiga ramli na ubovu wa team zenu kufungwa kila siku ndio kumefanya kufungwa kwetu na team bora kuwatoe kwenye mahandaki yenu na kuja kufurahia hapa.
Loosing one or two aint bad especially when you are beaten by a good team like Man City, we lost three points for the first time this season to a good team, a team that is in contention for the title. I told you last week that anything can happen so we must never get carried away, now we take it to the next one.
Roll On Next GW
Hold Your Heads Up High and You'll Never Walk Alone
Mkuu kuna kauli nilitaka kuandika ustaarabu ukaji update fasta.Yaaani Naona Wachezaji Wote Wa City Wanafurah Kupitiliza Kuifunga Liver.
Benchi Lao Wote Wamenyanyuka.
Mneanza kutukana wachezaji sasaARNOLD HASTAHILI KUCHEZA LIVERPOOL HATA KUKAA BENCHI HASTAHILI CHEZAJI LISENGE LISENGE
Wataanza na uchambuzi wao wa kipuuzi kabisa hapaSisi tunakujua bwana Malafyale ..wewe ndo shabiki bora na halisi kabisa wa liverpool ..usiwe kama hiz TAKATAKA zingine BORA MASHABIKI ..wao wanataka timu ishinde tu kila gemu as if wao ndo wanalipa mishahara ya waçhezaji..
Timu ikiyumba kidogo kocha anatukanwa hadi kuitwa MBWA.
Sent using Jamii Forums mobile app