Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huo mpira unaoujua wewe ,unaujulia wapi, mm naonaga ww lopolopo tu, jifunze kwa mwenzako King Ngwaba kwa fact na kujibu vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuona maana sina mda wa kubishana na dogo kama wewe ambae hata tofauti ya R na L hujui utaniandikia 'lopolopo' ambayo sijui ni lugha gani, wewe sio level yangu ndio maana hujawahi kuona nikibishana na wewe.You know nothing dogo, ni mdomo mrefu tu ndio shida yako. Get off me wanker.
 
Acha povu , najua umepaniki

Maana unaropoka ovyo huu mpira tu, usije kuniroga ,hamkawii nyie,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudos kwa sterling kawatesa sana unspoken hero alikuwa anawakusanya vvd na beki zake makundi makundi anapita katikati yao Robo kupanda kwake atasimulia
Yeah hata mm nimemkubali sana dogo. Alikuwa akikomota mpira unajua tu kuna chance ya kufunga.
 
Huwezi kuona maana sina mda wa kubishana na dogo kama wewe ambae hata tofauti ya R na L hujui utaniandikia 'lopolopo' ambayo sijui ni lugha gani, wewe sio level yangu ndio maana hujawahi kuona nikibishana na wewe.You know nothing dogo, ni mdomo mrefu tu ndio shida yako. Get off me wanker.
Umepaniki. Maana ulishatamba ubingwa lazima

Endelea kupiga lopolopo ,

January 2018: Liverpool beat Man City to end their unbeaten run in the 2017-18 Premier League season.

January 2019: Man City beat Liverpool to end their unbeaten run in the 2018-19 Premier League season.

What goes around comes around.... This is football

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Which season lovren,

IMG-20190104-WA0012.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuona maana sina mda wa kubishana na dogo kama wewe ambae hata tofauti ya R na L hujui utaniandikia 'lopolopo' ambayo sijui ni lugha gani, wewe sio level yangu ndio maana hujawahi kuona nikibishana na wewe.You know nothing dogo, ni mdomo mrefu tu ndio shida yako. Get off me wanker.
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah Mkuu umenichekesha sana
 
Most recoveries made during Man City 2-1 Liverpool:

🔵 Bernardo Silva (10)
🔴 Andy Robertson (10)
🔵 Fernandinho (9)
🔵 Raheem Sterling (9)

Pep Just take your hat off to that game.
 
Liverpool HALISI msiwe na wasi wasi,tupo vyema sana under Klopp.
Waachieni uwanja sasa Liverpool uchwara waitukane team na wachezaji,wao kwao team inakuwa bora inapo shinda tu!
Klopp got this,ataipanga team kwa mechi zijazo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Chelsea shit hawez tufunga tena anfield kufungwa na mancity kusiku brainwash ukaona tunafungika kirahisi leo yenyewe mancity walikuwa wanaomba mpira uishe tena kwa mara ya kwanza naiona mancity inapoteza mda utapigwa kipigo cha mbwa koko anfield wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mancity alikuwa anapoteza muda baada ya kuona liverpool anatami droo. Mwanzo walikuwa wanatka ushindi walipoona ngoma imelala wakapambana kutafuta hata droo nayo ikashindikana.
 
Liverpool fans really shouldn’t overreact:

• Still lead the league by 4 points.
• Played more of the Top 6 than the other challenging teams.
• Have a relatively easy run of games allowing them to bounce back.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom