EPL
EPL
Liverpool HALISI msiwe na wasi wasi,tupo vyema sana under Klopp.
Waachieni uwanja sasa Liverpool uchwara waitukane team na wachezaji,wao kwao team inakuwa bora inapo shinda tu!
Klopp got this,ataipanga team kwa mechi zijazo.
Sent from my iPhone using JamiiForums
"................... it is not the first game we lost in our lives. It’s not really cool, but it’s one of the three results that could have happened and it’s the one we didn’t know, but we have to take it. Now let’s keep on moving." _ J. Klopp
Hata game ya Lyon pale Etihad na marudiano walipo ponea chupiLabda ya chelsea ,tena hiyo game ni kama chelsea alimfumania,
Game ya lei , alikuwa ametoka kwenye majeraha, kama.sikosei ,na sidhan kama.alicheza dk zote
Huyo ndio mvurugaji wa city, akikosekana huyo ,ukiwa press wanachanganyikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
chupu, huyo mvulugaji nae alitoka majeruhi na kutomaliza mechi sio...?Relax Kop, msipanic asee. Kufungwa jambo la kawaida sana isifikie hatua hadi ukaona kocha hajui kisa team imefungwa tena imefungwa na Man City.Nyie ndio washabiki msiojielewa humu ndani.
Pumbavu zako Hendeson, Milner na Lovren hamstahil kuwa Club kubwa kama Liverpool.
Huyu Mbwa Klopp nawaambia hivi akiendeleza ukenge wa kuwalinda wachezaj wapuuzi type ya Henderson walah tutazeeka humu hata kikombe cha chai hatujabeba.
Haiwezekan mechi ndogo utupangie Fabh, Shaqir- keita alaf mechi kubwa kama ya City utupangie mbweha hawa Milner Hendo.
Hawa wapuuz walkuwa nusu watucost Uefa dhid ya Red star. Tukastruggle sana had mechi ya mwisho na Napoli.
Je huyu Klopp ni kiziwi au kipofu asiyeona hayo? Huyu mzee asipoangalia ipo siku ataishia kwa aibu zaid ya mourinho.
Unasumbuka bure huyo hana point ya kukujibu unamuuliza game ya Chelsea FERNADINHO si alikuwepo alifanya nini hajibu ana lopolopo tuHata game ya Lyon pale Etihad na marudiano walipo ponea chupichupu, huyo mvulugaji nae alitoka majeruhi na kutomaliza mechi sio...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio shabiki wa Liverpool, lakini naona kama unamuonea na kumshushia heshima Milner. Jamaa huwa anapambana sana kwaajili ya timu. Pia kuna baadhi ya mechi ambazo ilikua ama mpoteze au mtoe sare,lakini juhudi za Milner zikawapa matokeo.Nyie ndio washabiki msiojielewa humu ndani.
Pumbavu zako Hendeson, Milner na Lovren hamstahil kuwa Club kubwa kama Liverpool.
Huyu Mbwa Klopp nawaambia hivi akiendeleza ukenge wa kuwalinda wachezaj wapuuzi type ya Henderson walah tutazeeka humu hata kikombe cha chai hatujabeba.
Haiwezekan mechi ndogo utupangie Fabh, Shaqir- keita alaf mechi kubwa kama ya City utupangie mbweha hawa Milner Hendo.
Hawa wapuuz walkuwa nusu watucost Uefa dhid ya Red star. Tukastruggle sana had mechi ya mwisho na Napoli.
Je huyu Klopp ni kiziwi au kipofu asiyeona hayo? Huyu mzee asipoangalia ipo siku ataishia kwa aibu zaid ya mourinho.
Fabinho nimeanza kumuelewa dakika alizocheza chache alibadili upepo liverpool mkaanza kutulia.Nilipoona kikosi tu cha Liverpool niliamua kulala,sikuona haja ya kujipa presha.Combination ya Henderson,Milner na Wijnaldum haiwezi kuipa Liverpool mafanikio inayoyahitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kusema kuwa Man City alipigwa na Chelsea na Fernandinho akiwepo uwanjani,lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Fernandinho ndio injini ya Man City.Unasumbuka bure huyo hana point ya kukujibu unamuuliza game ya Chelsea FERNADINHO si alikuwepo alifanya nini hajibu ana lopolopo tu
Salah anapoelekea mech kubwa itakuwa mpaka apewe penalty labda, otherwise ataendelea kuzurura tu kama leo
Sent using Jamii Forums mobile app

"................... it is not the first game we lost in our lives. It’s not really cool, but it’s one of the three results that could have happened and it’s the one we didn’t know, but we have to take it. Now let’s keep on moving." _ J. Klopp
Ulikuwa sahihi sana kuogopa..!Dah tangia msimu umeanza safar hii sijawah kuogopa kama leo hii. Eee mwenyez tuokoe dhidi ya mbwa mwitu na mbweha hawa wakali. Amina
#YNWA