Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
beki zisipande kwa dk 20-30 za mwanzo tu.... baada ya hapo City watakuwa wapo frustrated, ndipo sisi tunaanza kanyaga twende.
Na hili ndiyo siku zote ninaloliamini kuwa Man City ukifanikiwa kuwazuia dakika 20 za mwanzo basi hawakufungi tena