Ukimaliza nenda KANYE ktk choo chako cha shimo hapo kwako BagamayoNyie ndio washabiki msiojielewa humu ndani.
Pumbavu zako Hendeson, Milner na Lovren hamstahil kuwa Club kubwa kama Liverpool.
Huyu Mbwa Klopp nawaambia hivi akiendeleza ukenge wa kuwalinda wachezaj wapuuzi type ya Henderson walah tutazeeka humu hata kikombe cha chai hatujabeba.
Haiwezekan mechi ndogo utupangie Fabh, Shaqir- keita alaf mechi kubwa kama ya City utupangie mbweha hawa Milner Hendo.
Hawa wapuuz walkuwa nusu watucost Uefa dhid ya Red star. Tukastruggle sana had mechi ya mwisho na Napoli.
Je huyu Klopp ni kiziwi au kipofu asiyeona hayo? Huyu mzee asipoangalia ipo siku ataishia kwa aibu zaid ya mourinho.
Mmeanza kuwanga sasa. Nawasubiri mashabiki wa SpursChelsea anapigwa na spurs mechi ijayo nao wajiandae kisaikolojia
Mkuu sasa ivi mnaita kakombe. DaahNa ww unachomolewa na spurs sijui mnacheza ka kombe gani kale una majeruhi kama wodi y wagonjwa.

Hivi timu pinzani zinafikaje golini kwenu alafu lawama ni kwa mtu mmoja?.....And Lovren is nothing but the most useless player to ever played for this Club
he's nearly 30 but still making the same mistakes kwa zaidi ya miaka mitano sasa at LFC, same damn mistakes
but, but, but he's a World Class CB because he played in a WC final and scored against Newcastle, club that employs and plays Isaac Hayden in the midfield
Hivi kuna watu walikuwa wanafikiria rekodi ya UNBEATEN ya The Great Arsenal itavunjwa na haka katimu kanakoishi kwenye mafanikio ya miaka ya 1980s? Kamwe.
aaa jana upepo mkuu uligoma hivyo ndio matokeo kama yalivyo....
Hivi timu pinzani zinafikaje golini kwenu alafu lawama ni kwa mtu mmoja?
aaa jana upepo mkuu uligoma hivyo ndio matokeo kama yalivyo....
ndio mpira aisee matokeo yaweza kubadilika muda wowote.
next gemu ya Manshit EPL ni vs Wolves usishangae ile gepu ikarudi tena maana adui yako mwombee njaa....
kwa sasa kila timu ipambane kivyake maana mechi za kujikusanyia pointi ni nyingi mno...
YNWA
Mancity finally put a spoke in one's bicycle's wheel, the rest is a spiral downfallI'd have reacted so quicker in the first half kama ningekuwa Klopp,
But today nimeona maajabu makubwa sana kutoka kwa Klopp tangu aje LFC, he changed the entire formation katika dakika ya 57 , from 433 to 4231
we all know, jinsi gani Klopp huwa ni stubborn katika ku-make changes mapema let alone changing the entire formation and Shape..
if anything, this shows kuwa the end of that Talent-less midfield is so near..
aaa jana upepo mkuu uligoma hivyo ndio matokeo kama yalivyo....
ndio mpira aisee matokeo yaweza kubadilika muda wowote.
next gemu ya Manshit EPL ni vs Wolves usishangae ile gepu ikarudi tena maana adui yako mwombee njaa....
kwa sasa kila timu ipambane kivyake maana mechi za kujikusanyia pointi ni nyingi mno...
YNWA
man i backed him for this game boy turned to be a passenger....Henderson Agenda, Back in full force