GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,073
- 16,389
PoaCome on Reds twarudisha na kuongeza moja...hii gemu inaisha 2 liverpool, mancty 1...
Sent using Jamii Forums mobile app
PoaCome on Reds twarudisha na kuongeza moja...hii gemu inaisha 2 liverpool, mancty 1...
HahahaWW na wenzako mnajua soka kufundisha?
Mmefundisha team gani?
Nyie ni wa kupuuzwa tu






Gomez tutakumiss sana
Hii takataka iliyo pewa majukumu yako inatuharibia mbio zetu
Sent using Jamii Forums mobile app





Umeamini sasa mkuu nilikwambia leo unapigwa huwa hatukurupuki.Baada ya dakika 90 njoo tena kama ulivyokuja hizi 45 za mwanzo
Na benaldo silva alikuwa anapora sana mipira