21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,299
- 2,843
Muda wa kuanua tanga ndio huu 😃😃😃😃
Poleni sana mkuu hii ni kwa sababu kwenu mliruhusu atoe suluhu makocha wazoefu wapo hivyo ukimkosa mtu kwako ukimfuata lazima akubadilikie
Hahaha mkuu ulitisha sana.
Hata ivyo tunashukuru kwa pole.
Sisi Liverpool mwisho wetu umekaribia mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app



Mtasema yote tu leoHuyu jamaa sio wa kupewa dakika 90, kacheza hovyo na chini ya kiwango. Userious wa mechi hanaga kabisa siku hizi
(Hendo,gini,milner) sio kbs hamna kiungo mbunifu hata mmoja
(Fab,keita,gini)
(Fab,gini,shakir)
(Fab,hendo,shaqir)
(Fab,millie,gini)
Hendo,lovren wote hawa ni muda tu ndo unaowafanya wawe LFC mpk ss muda ukifika hutowaoma wakicheza hata na QPR
Sent using Jamii Forums mobile app
YNWA On to the next one..Liverpool HALISI hapa ambao tunakuwa behind na team kwa kila hali tuwe watulivu!
Tunarudi Melwood kujipanga zaidi na mechi zijazo
Klopp katupa sana heshima mwaka huu mambo mazuri
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahahahah "YOU WILL NEVER WIN AGAIN" sorry mkuu "YOU WILL NEVER WALK ALONE" hahahaha..Hands up to Mancty well drilled to win this game,
we ddnt come near our best today n we were punished for that...the best team won...
we lose today we go again...next ni FA vs Wolves come Monday....
what a rollcoaster have been since th EPL started mpaka kuja kufungwo leo, tumeteleza hatujaanguka guys...
YNWA
could have been more, just hope this ws not our day n Klopp il put his house in order cz that ws scary from us....it was innevitable
Chelsea anapigwa na spurs mechi ijayo nao wajiandae kisaikolojiaHivi Chelsea naye alitolewa na Spurs au?
Mbona mnazozana wenyewe. Poleni wakuu ndiyo mpiraNakuambia kila siku wewe na kakundi kako hamjui kitu
Mnatujazia tu server
Wakati huo huo Liverpool alikazwa na Chelsea..Liverpool alimkaza city 4-3 au umesahau wakat chelsea alikazwa nje ndani
Hahahaha hatar sana wanajidai hawazipendi mbinu za mourinho.Pep and Klop did the Mourinho
Klop use long balls trying to rescue situation while Pep pack the bus
I love this game
Sent using Jamii Forums mobile app
ARNOLD HASTAHILI KUCHEZA LIVERPOOL HATA KUKAA BENCHI HASTAHILI CHEZAJI LISENGE LISENGE