Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

wanaosema kikosi cha leo liver tunafungwa hamukumbuki mwaka jana kikosi hichi hichi tulimpiga city??? mwacheni klopp afanye yake yeye ndo anajua kuliko sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanaosema kikosi cha leo liver tunafungwa hamukumbuki mwaka jana kikosi hichi hichi tulimpiga city??? mwacheni klopp afanye yake yeye ndo anajua kuliko sisi

Sent using Jamii Forums mobile app

Usikariri hakuna Mshabiki wa Liverpool hata mmoja hapa aliyesema Leo tunafungwa.

Hebu pitia comments za wanaosema tunafungwa uangalie Profiles zao ni washabiki wa timu gani?

Usicomment kisa tu kuna mtu kampoint mtu kwa comment yake
 
Yani sijawahi Kufurahia Draw lakini iwapo hii game tutatoa draw basi nitafurahi sana leo kwa mara yakwanza.

Na iwapo tutashinda basi ni zaidi ya furaha

Swadakta kabisa kijana

Hilo gap la pts 7 watakuja kututanulia kina Chelsea na Man U huko mbeleni na hivi vijitimu vidogo vidogo
 
Usikariri hakuna Mshabiki wa Liverpool hata mmoja hapa aliyesema Leo tunafungwa.

Hebu pitia comments za wanaosema tunafungwa uangalie Profiles zao ni washabiki wa timu gani?

Usicomment kisa tu kuna mtu kampoint mtu kwa comment yake
Mkuu naomba sasa ukiri fabihno na keita ni wachezaji mbadala kama nilivyokwambia hapo kabla ,hawa hendo na milner ni wanaume wa shoka gemu ya city,Chelsea,buyern ,spurs na man u watacheza tu,quote hii haina uhusiano ni kilichoandikwa hapo juu ni mijadala yetu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom