Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Come on Reds twarudisha na kuongeza moja...hii gemu inaisha 2 liverpool, mancty 1...
Anorld amefanywa ucbochoro na Sane hamsemi
Nahisi TV yako ni ya zamani sana!Tumekamatwa kila idara hata kwenye box lao hatufiki
WW na wenzako mnajua soka kufundisha?Tunapolalamikia Wachezaji Wabovu Huwa Tunaambiwa Hatujui Kitu!
Hivi Aguero alivyomzunguka Lovren na mpira na kufunga goli kwa Mchezaji kama Gomez anaweza kuzungukwa kweli?