The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,432
Ubingwa mtausikilizia bafuni saiv. Timu yenu hainaga bahati, hicho kilele mnasema mmefikia, mnashuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Dakika zao Man City zimeshamalizika sasa wakitufunga ni uzembe wetu
Tumekamatwa kila idara hata kwenye box lao hatufiki
Mkuu tusubiri dakika 30 za kipindi cha pili tena ngoja tukapumzike.Tujitahidi tuwazuie Man City dakika 30 za mwanzo tu!
Tukiwaweza kwenye dakika hizo basi hawatufungi tena
Tunapolalamikia Wachezaji Wabovu Huwa Tunaambiwa Hatujui Kitu!
Hivi Aguero alivyomzunguka Lovren na mpira na kufunga goli kwa Mchezaji kama Gomez anaweza kuzungukwa kweli?


si dk za City zishaisha? Asante, naona mlizimaliza mapema. Za kwenu zimeanza, zitumieni vzr
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawapongeza kwa kumpoteza david silvaTunapolalamikia Wachezaji Wabovu Huwa Tunaambiwa Hatujui Kitu!
Hivi Aguero alivyomzunguka Lovren na mpira na kufunga goli kwa Mchezaji kama Gomez anaweza kuzungukwa kweli?
Mkuu tusubiri dakika 30 za kipindi cha pili tena ngoja tukapumzike.
Anorld amefanywa ucbochoro na Sane hamsemiTunapolalamikia Wachezaji Wabovu Huwa Tunaambiwa Hatujui Kitu!
Hivi Aguero alivyomzunguka Lovren na mpira na kufunga goli kwa Mchezaji kama Gomez anaweza kuzungukwa kweli?
Asante, baada ya dk 90 nitarudi kuquote hii post yakoBaada ya dakika 90 hicho kiherehere chako kitakuishia
Mi nakuja tu mkuu ni mtu wa mpira kufungwa kawaida wanaokimbia nawazaga hawajui kuna kufungwa kweli unaweza kutegemea ushindi na usiupate akishinda liverpool mi nipo tu huwa napenda mpiraBaada ya dakika 90 njoo tena kama ulivyokuja hizi 45 za mwanzo