The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,433
Mkuu nataka nichek hii game kwa mobdro sasa naingia kwenye Chanel ganiLaporte ndiyo kakabidhiwa Salah ale naye mkono mkwa mkono!
Bein sport 2Mkuu nataka nichek hii game kwa mobdro sasa naingia kwenye Chanel gani
Mkuu nataka nichek hii game kwa mobdro sasa naingia kwenye Chanel gani
game ya kwnza anifield mpka mahrez anakosa penati mtange wake ulikuwa sio poa...mechi ilimalizka 0-0.......ile game ilikuwa ya kukata na shoka...Haiwezekani Mkuu
Homosapiens
Update ikoje mkuu, Liver tumeelemewa au imekaaje??Dakika zao Man City zimeshamalizika sasa wakitufunga ni uzembe wetu
Muda Bado!Tumeliwa
Mkuu nataka nichek hii game kwa mobdro sasa naingia kwenye Chanel gani