Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
aluta continuaChelsea na Man City ndiyo timu pekee zinazojua kutoa bikra uingereza.
Sent using Jamii Forums mobile app
aluta continuaChelsea na Man City ndiyo timu pekee zinazojua kutoa bikra uingereza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool alimkaza city 4-3 au umesahau wakat chelsea alikazwa nje ndaniChelsea na Man City ndiyo timu pekee zinazojua kutoa bikra uingereza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Salah alishaingia uoga kwa rafu aliyochezewa na kompany, alitakiwa kutokewa mapema
Kila siku anawaza kumaliza msimu bila kufungwa, halafu leo kawachomaLovren kawachoma mechi 18 anawaza unbeaten
Ww sahau top4Man city anarejea kwenye mbio za ubingwa sasa
Top 4 nayo imepamba moto
Sent using Jamii Forums mobile app
Man City kaniboa sana ..hii kazi angeniachia mimi CHELSEA.
hata hivyo sio mbaya ..Liverpool nyie ndo mabingwa msimu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hands up to Mancty well drilled to win this game,
we ddnt come near our best today n we were punished for that...the best team won...
we lose today we go again...next ni FA vs Wolves come Monday....
what a rollcoaster have been since th EPL started mpaka kuja kufungwo leo, tumeteleza hatujaanguka guys...
YNWA
Chelsea na Man City ndiyo timu pekee zinazojua kutoa bikra uingereza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajatolewa bikra labda wamekeketwa ili waache kuwashwawashwaHatimaye looserfool wametolewa bikrahaaaahaaaa. Timu imeoza kabisa hii, miaka 30 hamna Epl si aibu hizi
Hata spurs hiyo kazi anaiweza muulize sariChelsea na Man City ndiyo timu pekee zinazojua kutoa bikra uingereza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu ulitisha sana.Pole zangu nilitoa mapema kabisa wakati marehemu anajaribu kupepea kama ndege kutoka ghorofa ya kumi akiamini kwamba anaweza kupepea kama ndege.
Salah alishaingia uoga kwa rafu aliyochezewa na kompany, alitakiwa kutokewa mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
you know what, i'm not even mad hence wanted a draw
All on Klopp this...