Huenda kuna mengi yamefichika kwa huyu mwanadada mahiri, tusubiri tu. Aliyeomba kura na kusema hajazunguka mikoani hajapita. Tazama matokeo ktk uk wa 34 wa thread hii.
Kumbe kuna watanzania wengine wana uraia wa nchi mbili siku hizi? This is news to me.
Kumbe kuna watanzania wengine wana uraia wa nchi mbili siku hizi? This is news to me.
Bado tu wakati wake haujafika watampa tu,Mfano hai Asha Baraka amejaribu mara nyingi Chamani na hadi kwenye Nafasi ya ubunge anapigwa chini tena Mara zote kwa Kura Chache Safari hii kajimwaga tena na kapata! Kujikwa si kuanguka hata iwe mara kadhaa wa kadhaa.I think there's something wrong with Bhanji, sio bure. Yaani yeye anabwagwa kila uchaguzi. She ought to think twice before contesting!
Mtu wa makamo ES ; nimekupata uzuri kabisa. Narejea moja ya shule ulizojitahidi kutupatia huko nyuma,umetufundisha kufahamu President ni mtu Presidency ni Taasisi. Jana amewaeleza watanzania wote ktk mkutano mkuu,anasema wanadamu wako ktk makundi manne ya rika, nayo ni Watoto,Vijana,Makamo na Wazee; ameendelea kusema kuwa yeye na Karume ni watu wa Makamo hivyo walihitaji mtu wa rika la Uzee kuwasaidia. Niseme tu amejieleza vya kutosha na ni imani yetu kuwa sisi watu wa kawaida tumemuelewa. Jana Huyu Mkubwa alirejea vita aliyopigwa yeye kabla hajakaa kiti kile huko nyuma,hakujitaja bali ujumbe ulikuwa wazi sana.Uwaziri sio urais wa Tanzania, hayo tumeyaona toka enzi za Mkapa maana angalau Mwinyi hakuingia kwa mikogo, aliingia kimya kimya na kuondoka kimya kimya,
Tatizo ni Mkapa na Muungwana, walioingia kwa mikogo mingi, mimi mpaka leo sielewi huko juu kuna nini, maana wakiwa chini wanakuwa na maneno mengi mazuri, lakini wakifika tu basi wanakuwa mabubu,
kabla ya kuingia Ikulu, kuna siku nilikaa chini na Muungwana, ambapo aliniambia kwa uchungu jinsi alivyochoshwa na viongozi wazee, na kanipa mfano clear wa Kibaki, kwamba kazi yake ni kulala tu na kukingiwa kifua na wasaidizi wake,
Alipoingia Ikulu tu, akamchagua Kingunge, ambaye alishaamua kustaafu, na sasa Msekwa, kwa hiyo mkuu wangu huko Ikulu kuna something sijui ni nini kinachowabadili mawazo once wakiingia tu huko! Lakini kabla ya kuingia wanakuwa na maneno mengi mazuri!
MNATAKA MUUNGWANA AFANYE NINI ZAIDI YA HAYA???!!!
Haya tuendelee na kumkoma nyani giledi...
Kilitime na FD, wajomba mbona majina ya wasomi wengi yametupwa nje?...
Huku ni kughushi kwingine! Kesi itapoanza itabidi atangaze ana uraia wa nchi gani. Akisema Tanzania basi moja kwa moja hatakuwa tena Raia wa uingereza.
JJ
Mheshimiwa Mkandara,
kwa hiyo Wajumbe wa Mkutano mkuu wapo wengi ambao hawana uwezo wa kutofautisha darasa la 12, 14, stashahada, shahada, shahada ya uzamili, na shahada ya falsafa... kwa hiyo kwao hakuna tofauti ya Dr. Mathayo na Mh. John Komba...
Huku ni kughushi kwingine! Kesi itapoanza itabidi atangaze ana uraia wa nchi gani. Akisema Tanzania basi moja kwa moja hatakuwa tena Raia wa uingereza. Akisema uingereza moja kwa moja hatakuwa raia wa Tanzania. Na hapa mjadala wa kisheria utaibuka, anashtakiwa kama raia wa nchi gani(maana uraia unatanabihisha vile vile aina ya mfumo wa kisheria utakaotumika na mahali gani). Inaweza pia kutazamwa ni uraia upi aliupata karibuni zaidi ya mwingine. Lakini kama alikuwa anatumia uraia yote miwili kwa wakati mmoja basi anakesi ya kujibu ya kughushi ama utapeli kwa mujibu wa sheria zetu. Kama habari ilivyoandikwa ndivyo hali halisi ilivyo
JJ
...............Mimi nilimsikiliza Mheshimiwa Rais, kwa ujumla alijibu mambo mengi sana ikiwa pamoja na lile lililompa Mh. Zitto Umaarufu mkubwa kwa upuuzi wetu!!!
Kwa mfano,,, Mh. Rais amesema Waziri hana mamlaka ya kubadilisha hata kifungu kimoja kwenye mkataba wa madini, kila kilichopo kule aidha kiko kwenye sheria ya madini au ya kodi; Akasema lile lilomfanya kusema ku-review mikataba iliyokuwa ile 15% ya corporate tax ambayo makampuni mengi yanamekubali kuondoa kifungu hicho,,, na kwenye mkataba wa Buzwagi haikuwepo pia, hivyo Mh. Karamaji hakukosea kitu chochote,,, Mh. Zitto amesikia hotuba ya Rais naomba atoke kimasomaso aje kutuambia kwamba kuna hoja kweli lile alilokuwa analipigia kelele Bungeni?
Tuacheni mambo ya kufanya vitu jumla jumla, twende hoja kwa hoja!!!
Put your self in Muungwana's shoes. What would you do on fighting corruption? what are your basis for that decision?.
Hivi ulimsikiliza Kikwete,,, mkataba umeuona,,, unaweza kutuwekee kipengele ambaco kimeenda tofauti na sheria iliyoko sasa?Unajua mambo mengine msiwe mnachukulia kirahisi rahisi, wakti kuna hoja NZITO
Kilitime ....hivi ulishawahi kusoma maelezo ya Prof Shivji kuhusiana na hoja ya Mh Zitto na kweli ukaona JK kajibu hoja inayompatia umaarufu Mh Zitto!!!!......................sijui kaijibiwa wapi....................hebu tufungue macho niwapi alipoijibu
Kweli kabisa na rais amesema anaomba hiyo tume itakayokuwa inasheheni wataalamu na upande wa upinzani ulilete hiyo formula mpya,,, iliyopo ndio aliyotumia waziri,,, so no wrong doing otherwise please leta hapa!Kilitime......unapaswa kuelewa hii vita yetu........tunataka Mikataba yenye manufaa Kwa taifa iwe wazi at least wabunge wetu wakihitaji kuiona na waione...............kwani wale ndio wawakilishi wetu.
Nimesema waziri hana mamlaka ya kutoa kodi au kuongeza kodi kwa mwekezaji yeyote, zote lazima zitoke kwenye sheria ya madini au ya fedha... full stop... in other words waziri hana power ya nkunegotiate... hili ndilo alilosema Rais. Ni kodi gani ambayo Mwekezaji amesamehewa na Waziri wakati iko kwenye sheria,,, ilete hapa tuchambue?Kilitime........yes Waziri hana mamlaka ya kubadili mkataba......hivi Karamagi alifanya nini kule Uingereza with his "Ball Pen"
Hii nakubaliana nayo, kwani alishasema katika mambo anayo-regret ni kumwonea mtu... naye hakupenda kumuadhibu Karamaji kwa kosa la bunge kutunga sheria mbaya,,, does it make sense to you... waziri awajibike kutekeleza sheria ya bunge kama ilivyo....Noo man !..................................JK naona ni mpole sana hata kuliko Mwinyi na Mkapa
Hivi kweli inaingia akilini only 1.9% (FD reported) ndio mchango wa madini ktk pato la Taifa!!!???
Kumuwajibisha mtu kwa manufaa ya umma lipo,,, lakini sharti uwe na mkosaji...Hivi lile neno la kumuwajibisha mtu kwa manufaa ya umma liliishia wakati wa Rais Mwinyi tu na haliko tena ktk lugha yetu!!....................ina maana hivi sasa ndio tuna viongozi Safi sana kuliko wakti ule eehh!!........................siku hizi akina Karamagi wanapeta tu!!
Anyway...........we have a long way to go kama hata sisi hapa JF tutakuwa tunakubali majibu rahisi rahisi namna hiyo
Kilitime: acha kidogo ukada; hebu soma maelezo ya Ogah hapo juu. Kuna hoja nzito ulizochokoza ambazo nafikiri unastahiki kuzijibu mkuu!
Makamba -secretary general
Amos Makala-FEdha
Kidawa-Oganizainesheni
Membe-Mahusiano ya mambo ya nje
Source:Nchimbi
[/SIZE]
???????????????