AURA SPECIAL THREAD: Fanya muujiza wa kwanza na Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Jun 4, 2014
4,982
4,495
Habari Wanabodi,

Nakuja Tena na mada inayozungumzia kila kitu kuhusu Aura(Nguvu Ya Kwanza Kabisa Rahisi Ya Kufanywa Na Kila Mtu Kirahisi)

Aura Ni Nini!?

Wengi wamekua wakiskia tu kuhusu ulimwengu na nguvu mbalimbali alizonazo mwanadamu bila kuweza kuziexperience here i come with the First Class Power aina ya Aura....

AURA:
images (1).jpg
images.jpg
images (2).jpg

Kila kiumbe hai kinachoishi kwa kutumia Oxygen kuishi kina AURA
Ni Mionzi au miale ama vivuli viliovyokaa mwilini mwa kiumbe hai vinavyomzunguruka mwili wake mzima kwa kiswahili rahisi aura ni mwanga au mvuke Unaomzunguka kiumbe hai na hii tunaotembelea spirit world tunafahamu sana kwa wale wasiojua Aura Huu Ndio uzi Mzuri kwenu kiuweza kujua kuhusu Mengi yanayohusu Aura
Hapa Utafahamu Maana, Faida Na Jinsi Ya Kutumia AURA Zako na Wengine kuongoza maisha yako pia hii ni hatua ya kwanza kabisa kufahamu kuhusiana na aura

SABABU YA KUJIFUNZA KUSOMA AURA:

Zifuatazo ni sababu zitakazo kupa amasa pia za kujifunza kuhusu aura kama utazipenda jifunze kama hazitakuvutia achana nayo tutaendelea kuchambua Psychic Power Moja Baada Ya Nyingine Panapo Majariwa
Uzi Huu Utaendelea Kuwa Updated Kwa Maana ni kasomo kazuri na ka kwanza

SABABU NA FAIDA ZA KUSOMA AURA ZA VIUMBE WOTE:

1:Inakusaidia Kumfahamu Mtu Kabla Ya Kuzungumza Nae Ni First Class Pia YA Kuread Mind.
images (3).jpg


2: Inakusaidia Kufuata channel au waves za aura za watu na kuwafuatilia kwa yale wanayoyapenda na kuwajua wanataka kuzungumzia kitu gani muda huo hata kama hyajakwambia ukitaka kumjua na kuongea nae mengi utaanzia pale aura yake ulipoisoma
See-Auras-Step-10.jpg


3: Ni Kinga Kutokana Na Maradhi ya kiroho mapepo na wachawi
sealing.jpg

4: Inakusaidia Kujijua Wewe Ni Mtu Gani Na Kwa Nini Upo Hapo Na Njia Gani Ufuate
images.jpg


5: Inakusaidia Katika Kubadili Maisha Yako Kama Kumjua Mtu Wa Kukusaidia Na wa kukuharibia
Crowd-of-auras.jpg

6: Inakuongoza njia za kupita hata kama ni usiku wapi kuna watu wabayana wapi kuna watu wazuri

7: Inakupa Nafasi Ya Kujua Mtu Na Tabia Yake Kuu Kifupi Msaada wa aura kwa ujumla ni kukulinda na kukuongoza kama ukitaka jifunze kwenye hii mada usione mtu anaamrisha pepo toka akatoka ukajua yule pepo kaogopa yule mtu hapana kaogopa aura inayosoma muda huo..RANGI ZA AURA & MAANA ZAKE:
Aura Zipo Kumi Ambazo Zinakawaida yakuingiliana kwa mtu ambae ni mgeni katika kusoma wengi huishia kusoma rangi moja tu ya Astral Body yaani mwili wa nafsi ya kuona uzembe kuendelea kusoma someni Aura Wakuu

RANGI ZA AURA:

1:
red-aura.jpg

Red Aura Ni Watu ambao wananguvu na wenye ujazo ndani yao, wao huonekana ni watu wapya wenye mtazamo mpya kila leo. Wanapenda sana chakula, kusafiri safiri na kutembea na kufanya mapenzi. Kitu Walichojiwekea Sana katika akili zao ni kumba atajaribu tena ni watu wa majaribio majaribio au onja onja kwa jina lingine.” Kwa sababu wenye aura hii hujikuta kwenye mambo moto moto kwa sababu ni aura inayokaribiwa sana na mashetani ni watu ambao huwa wapo ress ress mara nyingi....

ni watu wenye kuchukia kirahisi rahisi tu, nahupandisha jazba kwa mambo madogo madogo tu. lakini kwa juu ni watu wenye kujitolea msaada wanapohitajika pia ni watu wasio na noma..
Ni watu wenye nguvu akilini na ni watu wenye nguvu pia mwilini, na ni watu wasio ugua kirahisi rahisi. Kwa Sababu resi zao huwa kama ni mazoezi katika miili yao na kuwaweka presha zao vizuri mara nyingi huwa ni wenye nyota ya punda na ng'e Ni watu wanaopenda mambo ya kuonekana dhahiri na hawana time ya kufuatilia au kuamini mambo ya kiroho. Wenye Aura Hii Nyekundu ni watu wanaoboeka kirahisi na huama eneo hilo au hata thread kama umeweka akisoma kidogo anaachana nayo hawapendi kuwa bored ndio maana huwa ni onja onja, Wanapenda Kutafuta pesa na kustarehe kirahisi. Lakini Pia Ni watu wanaopenda kuanzisha mambo kwa kasi na kushindwa kuyamaliza. Lakini pia wakioziweka akili zao eneo moja hadi huwin hapo hapo, hufanikiwa sana na kupata utajiri mkubwa katika maisha yao lakini pale tu wanapojijua.

Hawa watu hawapendi kuzungushwa zungushwa hovyo hovyo hawakawii kukuita mruga ruga au tapeli wavutie kwa kuwaambia vitu upesi upesi na mambo wanayoyapenda.

Ni watu Ambao Hawaisikilizi wenzao na hawataki kupelekeshwa hovyo bora uwakwepe hawa chovywa chovya ila ukimjua Mbwa Jina Hakupi Shida....


2: AURA YA NJANO
yellow-aura.jpg
yellow-aura.jpg

Yellow Aura ni watu watambuzi wenye akili na logical na wenye uelewa. Ni watu wenye kujihusisha sana na mambo ya sayansi na kazi za kufundisha shule n.k. Huwa hawafanyi kazi sana hadi pale wanapoingia kwenye mahusiano ya kimapenzi ndio hufanya kazi kufa na kupona hadi washinde ili kuthibitisha wenza wao wamefurahi vema na kuhakikisha wanatambua thamani yao kwao.

Yellow Aura ni watu wenye furaha sana wakiishi peke yao zaidi kuliko wakiwa na wenza wao maana hawapendi kupelekeshwa hovyo. Ni watu wenye kuumwa hovyo pale wanapojihusisha na mambo ya kuwa na misongo ya mawazo ukiiyona aura yako ni njano basi acha upumbavu wako wa kujipa mastress yasiokua na ufumbuzi wala faida kqwa kuwa wewe ni mfumbuzi.
The Yellow Aura ni watu wenye uwezo wa kuongea na kuonyesha umahiri wao mbele ya watu wengi bila kujali nani anamtazana nani hamtazami. Nawana uwezo mkubwa sana wa kutambua na kuwafanya watu wavutike kwa mazungumzo yao hata kama hawana zuri la kuongea hata wakiongea pumba watu huwaona wameongea point.

Ni wapingaji wazuri na wanaweza kumsoma mtu na kumpeleka wanavyotaka kirahisi. huwa wananafasi nzuri kimaisha ikiwa wamejitambua na kujielewa kwamba they are Yellow Auras. Ni watu wasiosumbuliwa na wajinga na huchagua marafiki zao kwa makini sana kuliko kawaida ni mtu asiekua na marafiki. Mara nyingi hawa rafiki zao huwa ni wenye aura za njano nyekundu kwa hawa utajisumbua labda kama unatafuta kutukanwa tu hata katika ushindani wowote nyekundu hapa huna jipya kwa njano na usimvuruge kukunyony aura kwake dk 1 nyingi.

The Yellow Aura Wao hutumia vichwa vyao sana wanapo kamatika katika masuala kuliko Moyo Hivyo Jua Huyu Ukimletea Mambo Ya Hisia Zako za moyoni hakuelewi iwe mwanaume au mwanamke . Ni watu wasiosomeka kirahisi na pia hawashawishiki kirahisi na mawazo ya watu wengine. Kwa Baadhi wenye aura hii hawavutiki sana na mambo ya hobbies crazy stuffs. Utawavutia Kwa Jambo Wasiolijua na mambo yasiokua ya kawaida.

Jambo Kubwa Kuhusu Hawa Huwa wamezidi sana katika masuala ya uchokono chokono sana...
Utampata kisomi zaidi


3: Pinki Auras
pink-aura.jpg

Pink Aura Ni wenye asili ya kutoa na kupendeka. Wanapenda kupendwa pia, Hupenda kujikusanya na marafiki wa karibu ndugu,jamaa kadri wawezavyo na waliowazunguka. Wanapenda kuchunukiwa uspecial pale wanapokua katika matukio ya jamii kama harusi,msiba yani kusififiwa sifiwa na kujiweka juu. Hawapendi zogo huweka miili yao nyororo ni wapenda sifa sana hawa watu hupenda kuvuta hewa safi sehemu safi nyakati safi wanapenda raha haijarishi ana hali gani ya maisha.

Pink Aura ni watu wenye mapenzi sana na upendo wa dhati ukiwa nae huyu sahau kusalitiwa katika maisha yako ni watu waaminifu sana mapenzini na hawapendi kuonewa hupenda kudeka na kudekezwa hii ni kwa jinsia zote.

The Pink Aura wana asili ya uponyaji, wanahisia kali na wana psychic power nguvu za kutenda miujiza za hali ya juu wengine huwafananisha na majini au malaika yani wanasifa hawa ni wazuri ukiwaona mwenyewe utasema kweli Bro Rakims alisema psychic abilities zimelala kwao zile za juu first classes abilities kama kuhisi uwepo wa mtu kujua tukio lijalo kupata wanachotaka kama wewe maskini tafuta rafiki huyu maisha yako yanabadilika within 2 months . Ni watu wenye mawaso mapana sana na wenye uwezo mpana sana wa kufanya mageuzi chanya

Kwa sababu wao pia ni waambishi wazuri wa mashairi, miziki,simulizi na historia washauri pia wafanye kazi hizi utajirike hawazulumu hawa.
The Pink Aura wanachukia kukosa haki umasikini pamoja na vita. Wao hupendelea zaidi dunia iwe kijiji kizuri sana wako radhi wajitoe kafara kwa wale wanaowapenda.

Pink Aura ni watu wenye nidhamu na hupenda kuheshimiwa pia na watu wanaowazunguka. Wananguvu ya kuamsha watu wengine na kuwatukuza na kuwakuza kutoka chini kwenda juu ni watu wa maendeleo. Kwa sababu wao hupenda sana kusaidia hata wale waliowaajiri kufanya nao kazi mradi tu asijihisi kuwa ni mtumwa au asiye na thamani pia huishi nae kama ndugu ama rafiki mfanyakazi wake hivyo wafanyakazi wao hujikuta kunufaika kutokana na waajiri wao.

4:AURA YA KIJANI
green-aura.jpg

Green Aura Ni watu wakubwa katika maswala ya ubunifu na wafanyakazi ngumu. Wao Hufanya kitu kwa ukamilifu bila kupungua kwa chochote. Wao hupenda kufanya yote yanayohusu ardhi na kuipamba dunia kwa uwezo wote walionao au nyumba zao.

Ubunifu wao mara nyingi huegama kwenye garden/bustani, kupika pika na mambo ya nyumba. The Green Aura ni watu wenye macho mazuri na hujipendezesha kwa mavazi na hujivutia wao binafsi kwanza, nyumba mazingira wanayopita na kila eneo wao hupenda liwe safi wanakieleele hata wakiingia leo ndio mara ya kwanza kuja kwako atakwambia hiki ungeweka pale kingekua kizuri na hivi na vile wanapenda kukosoa mazingira.

Green Aura Wao hupenda makundi kutamaniwa na kuheshimiwa sana. Wao hufanikiwa sana na kujiletea utajili kirahisi kwao. Green Aura wanapenda ulinzi na usawa. Chochote wanachofikiria kinachokuja kichwani anataka afanye hii huwapelekea kuonekana watu wenye kukosea kila mara.

Marafiki wa karibu wa hawa huwaonyesha vitu kwa vitendo marafiki zao mfano anaweza kuja nyumbani au ofisini kwako akakuomba kitambaa harafu akaanza kukufutia meza pale wakati anafuta anakwambia ndugu au mkuu fanya usafi bana humu kuna vumbi huku yeye anakufanyia mwenyewe . Green Aura hawasumbuliwi na mambo ya kijinga na hubagua sana marafiki. Ni Watu wenye afya njema na akii nzuri na wanapendeka kwa muda mfupi wakiwa around. Wanapenda kujiweka na asili na hupenda sana kukaa nje.

5: AURA YA CHUNGWA
orange-aura.jpg

Orange Aura people wako vema na watu, wakarimu, wenye kujali jamii. Wanapenda kuwa pamoja na watu wote hawajali rika mali kazi heshima na chochote kama mradi tu wao wamekaa na mtu hata kama ni kichaa hukaa na kucheka nae. Ni watu wenye kupenda kutoa zawadi na kujali sana wengi wao hufanya kazi shirika la misaada au huanzisha vituo vya watoto yatima aim zao kubwa huwa ni kuokoa jamii ya chini iliyokosa muelekeo.

The Orange Aura ni watu wenye roho nzuri tu, wema na wawazi. TNi watu wa kuliwaza na kuwapa tumaini wengine hata kama huna uwezo kabisa wa kufanya chochote atakupa tumaini hadi umekaa vema kabisa. Orange Aura ni watu wema sana sehemu nyingine ya wema wao ni hisia zao kwa watu wengine ukimuhadithia matatizo yako anaanza kulia hovyo maskini we unaona ya kawaida. Humfanya mke au mume ajihisi mfalme au malikia hata kama hana mbele wala nyuma hata kama anakasoro ya ndoa humvumilia tu.

The Orange Aura ilakini pia wana hasira za mlipuko pale wanapomuonea huruma mtu wewe ukamletea utani unatafuta kutukanwa tu hapo. Lakini kitu kizuri kuhusu wao husamehe haraka sana na kusahau pia hata umfanyie nini ukimuomba tu samahani anakusamehe. Hawakai Na Kiroho cha Kuntu Muda Mrefu.

Orange Aura people are confident of the impression they make on others and can use this to their advantage. Wao Huongoza Mtu Kufanikiwa Haraka Sana. Upande wao mbaya ni watu wasio na subira na hupenda kukurupuka hovyo hovyo tu, Kuzoea Na Kufahamu mahusiano kwao ni kitu rahisi. They normally need to act immediately and consider the consequences later.

6: AURA YA ZAMBARAU
purple-aura.jpg

Purple Aura Ni Watu Wenye Nguvu Ya Juu Sana Ya Kutenda Miujiza, huzigusa hisia na fikra za watu wengine upesi sana na kuwafanya wajione wamelindwa wakiwa karibu nao. watu wenye rangi ya purple huonekana wenye maajabu na uwezo mkubwa wa kutenda miujiza.

The Purple Aura ni watu wenye kuwa karibu na falsafa, wenye mvuto wa ajabu. They love to learn and never stop exploring and enquiring into new subjects and areas that interest them. Because this they tend to be extremely interesting and knowledgeable people.

The Purple Aura ni watu wasiokua na marafiki wengi na hawapendi kujichanganya na watu wa hovyo hovyo kwa uwezo wao mkali...

Purple Aura ni watu wanaoungana sana na asili pamoja na wanyama. wanauwezo mkubwa wa kujua isia hata za mnyama akimuangalia tu anajua huyu ananjaa au anaumwa au anamimba wanasoma mind za wanyama ndege hata wadudu. Purple Aura people tend to take in and care for strays as their loving and caring nature makes it difficult for them to turn strays away.


7: AURA YA BLUU
blue-aura.jpg


Blue Aura ni watu ambao wana nguvu sana za muonekano.

Blue Aura Ni wazungumzaji wazuri sana duniani aura zote hakuna inayofata. wana uwezo mkubwa wa kushawishi, mawazo, views and concepts eloquently and charismatically. They make for excellent writers, poets and politicians.

Blue Aura people are also highly intelligent and very intuitive. Wao Huunga Vichwa Na Mioyo Yao Katika kufanya maamuzi magumu yanayowakuta. ni wapangiliaji wazuri na wenye kuwavutia watu wengine pia.

Ni watu wenye kujenga amani na hawana muda na shari pia ni watuliza upepoikitokea sehemu kumevurugika. ni watu wakweli, ni watu wanaoongea direct hawapendi kufikishiwa ujumbe wamependa ana kwa wana ni watu wa maongozi ya live sio viujumbe hawavutiki navyo. Ubaya wao hupenda kujibebesha mizigo isiyo wahusu wengine huitwa mbeba lawama, hata kama jambo hawajafanya wamesingiziwa hukubali kumridhisha mropokaji ukweli ukijulikana watu wanaumbuka.

8: AURA YA DHAHABU
gold-aura.jpg


Gold Aura Ni watu wenye kupenda uzuri na sanaa. Ni Wenye Kupenda Kupamba Mazingira na kujipamba wao kileo tofauti na kijani wanajipamba kiasiri. Wanapenda Kuburudisha na kuongozana na watu wengi. They do not feel intimated by being the center of attention – just the opposite in fact as they like to be the sparkling gem in a stunning crown.

The Gold Aura individuals are very attractive and love to attract attention, affection and admiration from lots of people. Kwa Sababu Hiyo Wao Huwa Na Marafiki Wengi Wengi Na Wengi Sana Sana. Lakini Hawachukui Muda Hawawajari Na Hawaoni Thamani Yao Kwa Kulewa Sifa Za Kuwa Nao Wengi, affection and attention; the Gold Aura individual will give of their time, energy and love generously.

The charm and charisma displayed by the Gold Aura personality adds to their attractiveness. Pia Ni Waskilizaji Wazuri Na Wenye Kupenda Kuskilizwa Pia, Kinachowavutia Na Muhimu Kwao i Company Yako Tu si kingine chochote.
Gold Aura ni watu wagomvi lakini hawapendi ugomvi wao utangazwe hovyo huwakera ukimwambia kagombana na mtu au ukimuuliza kugombana na mtu. Their main flaw is that of being overly lavish.
They like to impress and give the most generous gifts and host the most impressive social gatherings, even if their budget won’t allow this.

They are very proud and fiercely independent and extremely reluctant to ask for help from anyone.

9:AURA NYEUPE/FEDHA


white-aura.jpg


Silver Aura Au White Aura ni watu waliobalikiwa sana hawa. Jinsi wanavyotumia majaliwa yao utapenda wako safi roho nzuri wema na wenye imani. Silver Aura Ni watu wenye kuvutia sana, wenye kukuingia ndani zaidi, Nguvu Za Miujiza Na Kuzifanya. Wanatumia Uelewa Wao wa kuroho kufanya mambo yanayoonekana kama Rakims Kugawa Hii Elimu. Kwa Sababu Hii Wao Hujikuta Wakavutia Watu Wengi Katika Kuwafunza Mambo Mengi Ya Nguvu Ya Roho Japo Wanakatisha Tamaa, kupoza jazba za watu lakini pia huwa ni viongozi wa dini na wanavutia katika kazi za sheria Na Busara.

Silver Aura Ni Watu Wenye Kusaidia Sana Jamii Hata KAma HAwapati Faida Wenye Kujitolea Sana. Na Humuwezesha Mtu Kufuata Yale Wanayotenda Hata Kama Mabaya Na Pia Huwa Viongozi Wa Dini.

Ni watu wenye mvuto sana ukimuona tu utataka umjue zaidi na zaidi. Na Wanamvuto Na Wengi Huwatamania Sana Kwa Yale Wajuayo. But Silver Aura people ni Watu Wanaobagua Marafiki Kwa Makini Na Wapenzi Pia.
White & Siver Kifupi Ni Wenye Kubalikiwa

Silver Aura wamebarikiwa kimuonekano, jinsi walivyo na wanavyoonekana ni wenye bahati na hushinda pia bahati nasibu. Mafanikio Huja Kirahisi Sana Kwao.

10:AURA YA BROWN(MAJI YA KUNDE)
picture-3.png


Light Brown inaonyesha kuchanganyikiwa kuvurugwa kulewa au kutokua kwenye state ya kueleweka eleweka. kukosa kujiamini, kuvuruga vuruga huyu ni mvurugaji. Brown Iliyokosa Inaonyesha Mtu King'ang'anizi, Mbinafsi Mwenye Gubu Msumbufu, Mtafuta makusudi, mtu mvurugaji wa mambo chokonoko snitch ndio ana aura hii kila akikaa yeye ni kuongea matusi matusi magubu gubu si mtu mzuri huyu ukitaka snitch na kuvurugwa fanya urafiki na mwenye hii aura...


11: AURA NYEUSI
59484bbe2a5849ba504bdcbbfba327bd.jpg

Hii Ni aura inayoonyesha ubaya ubaya kama umekutana na mchawi jini nuksi mikosi,nguvu za kiza,hasara magonjwa kukosa uelekeo kama ipo kwenye mwili wako, machangudoa, wagonjwa ngojwa, mambo mabaya mabaya. hii rangi siku zote ni rangi mbaya tu kama ipo mwilini mwako kuna jinsi ya kuitoa.....

Hizi Aura Zimegawanyika sehemu tatu:

*Aura Ya Kujisakizia
hizi ni za hasara tu za kusoma maelezo hayo juu ukajiona ni wewe umekula hasara

*Aura Ya Muda Huo
Hii ni ya muda husika Uliopo Sasa Hivi

*Aura Ya Asili
Hii Ni Yako Ya MaishaJINSI YA KUSOMA AURA AU KUONA AURA:

Kila kitu kina Aura. Hii ni kwa ajili ya kujifunza,Ni rahisi kuchunguza aura kwanza kwa kitu kisicho na uhai. Hivyo ili uweze kuona zoezi rahisi chukua kitu kama karata na karatasi mbili nyeupe.kisha weka karata moja upande wa sheet ya kwanza na karatasi ya pili upande wa pili, kasha angalia katikati ya karatasi hizo utaona aura ya upande mmoja na mwengine wa karata zinaanza kuchomoza nakupunga huu mfano hata Pasco alianza nao lakini mambo yaliingiliana akakosa nafasi ya kuendeleza darasa,

Nyekundu na rangi ya bluu zinashauriwa sana kwa kuanza nazo kama rangi za kuanzia kusoma aura, maana ni rangi zenye nguvu ya siri katika aura. Blue ina aura ya njano na nyekundu ina aura ya kijani hivyo ukiweza kuziona rangi hizo zinamweka basi jua ndio first class ya aura By Rakims. Mwanga wa aura unatofautiana na tone la aura na tone pia inatofautiana na kifuli, usione mwanga ukajua ndio kivuli; hivyo unatakiwa utiza tone inayotoka baada ya mwanga wa aura.

Kuona Aura kunakutaka utulie na uweke mawazo yote hapo, Kwa muda huo huo unatakiwa uendelee kutizama kwa mtindo muafaka wa kutumia ncha za macho hiyo itakua rahisi kwako.

Hakikisha unapofanyia zoezi mwanga uwe laini, ambao wa wa chini mnaoendesha magari nadhani mnafahamu dim light inakuwaje – hakikisha hakuna mwanga utakao mulika macho yako!

Nyuma kunatakiwa kuwe patuli kama rangi moja mfano kama unapiga passport size ila anza na nyeupe kasha baadae sana baada ya kumaster hizi njia za kwanza ndio tafundisha jinsi ya kuona bila kutumia background colour yani hapa utaweza kuona hata aura za watu mia kwa wakati mmoja utakua na macho mawili tena ya zinada kuona watu wana hali gani na kuona watu wana hali gani za kweli na uongo Kama Gonjwa Utajua tu hili gonjwa niliepuke kama chawi utajua hili chawi kama snitch na kadhalika hizo rangi juu nimeweka za wahusika baadae tutaangalia hali n.k. Basi kama unaweza weka karatasi na kasha weka mkono wako hapa tawafumbua kidogo mnaokwenda kwa waganga ukiona mganga anakwambia weka mkono kwenye karatasi jua anakusoma aura ya muda huo na asili yako ili atakacho kwambia useme ni kweli kabisa baba.

Maskini unakamuliwa tu

Baada ya kuweka karatasi isiyokua na maandishi popote pale nyuma weka kitu husika unachotaka kukisoma aura Kama Ni karata au rangi lolote utaona aura yake kumbuka aura unayoona itakua haina rangi hiyo hiyo

Watu wanaliwa sana kwa first class za aura reading sasa basi nafundisha hii, ili watu mjielewe tuweze kujenga nchi vizuri ikue kielimu na kiuchumi nikiskia tu waganga mmeongezeka mjini darasa linaishia hapa haliendelei soma hii ili usaidie watu sio kuharibu watu halafu ukitumia kuharibu watu sisi tupo tutakujua na tutakutangaza na picha zako..

Fumba macho yako; vuta pumzi ndefu hadi pale utakapohisi kitu kama huzuni ina ingia katika macho na moyo wako ndio ufumbue moja kwa moja na uangalie kile kitu umeweka katikati kati katikati yake yaani narudia tena katikati yake weka hata doti ili ulenge katikati yake kasha basi anza kupumua kawaida na ushushe presha zako huku ukiangalia bila kupepesa macho na kasha endelea kuangalia hapo hapo yaweza pia kukusaidia kuwa hatua ya kwanza ya meditation.

Sasa, kuwa kama vile unaota wakati unaangalia hilo eneo. Ndio Hivyo: Vuta picha za macho yako pembeni kidogo ya doti hiyo kwa taratibu hakuna kukurupuka. Taratibu jishikie uso wako na macho yako usishikilie kwa mikono yani shikilia kwa hisia kulinda usijikunje wala macho kujikunja. Angalia kwa makini bila kukunja macho wala paji la uso! Ulijua rahisi eenh! Endelea, Sasa Hapo Ndio Taratibu unaanza kuwa kama unapoteza umakini wa kuangalia.

Kama unataka kukapua macho kapua mara moja kidogo kasha rudia kuangalia, , Vinginevyo utasababisha maji ya machoni(machozi) yaje upesi ukate tamaa. Kapua kawaida bila kupoteza pale ulipokua unatizama usiwazie chochote hata kwa sekunde tulia tazama. Aura Inaweza ikapotea kidogo, lakini itarejea upesi kama utaendelea kuangalia na kumakinika kwenye kuangalia. Ikiwashinda kumaster nah ii then huu ndio mwisho wangu wa kufundisha spiritual theory humu ndani

Utaona aura fupi mara ya kwanza inaanza kuja kutoka katika kifaa unachotizama ina rangi kama ya mvuke hicho ndio tunaita kivuli cha aura. Shikilia umakinikaji wako usiiangaliae sawa hapa ndio wengi huwa mnafreak out hata masters pia huwa wanakiele ele wakishaona hii mshana jr pia huwa ana freak out hapo, Just a joke ndugu,.

Hivyo ghafla aura ya njano au kijani itaanza kutokea kutoka katika hivyo kitu ulichoanza nacho cha rangi nyekundu au bluu, naomba usikurupukie vitu vingine kama wanyama au binaadamu hadi umast kwanza hii kisha ndio utaendelea. Ukiifuata tu kuitizama au kubadili aim uliokuwa umelenga itapotea yote Aura husmwa kwa kutumia ncha za macho wale wagonjwa wa macho msaada ndio huu, Aura itapotea na kukufanya uanze upya tena hivyo angalia hapo hapo huo mwanga huwa unakuja tu.
Ukiweza kuona hizo rangi kwa maelekezo yangu basi anza na kutizama rangi zingine na zingine ujue aura zake nikuthibitishie kwamba ndio au sio, japo nimemaster spiritual lakini I always consider myself as a student coz you must act like you don’t know anything you will know many things kwa wale lugha inayowasumbua namaanisha kuwa (lazima ujifanye hujui chochote hata kama umekaa na wasiojua ili ujue mengi zaidi hata hicho unachoona hawajui wanavyokijua hakunamkamilifu na sote hatulingani elimu kwa sisi tunaoparform mambo ya spiritual tuna amini kua hata motto mdogo aliezaliwa miezi miwili iliyopita kuna ujuzi anao sisi hatua we respect everything hata jiwe maana linakucharge sometimes ukiwa spiritual planet..

. Kila rangi ina aura tofauti na yenyewe kumbuka. Baada ya kumaster kitu kimoja basi weka vitu viwili uendelee kujikomaza nitakuepo kushare experience zako. Utambue jinsi aura zinayoingiliana na kuchanganyika waweza hata kujua mtu anaumwa kiungogani muda huo mwilini kwake kula colours zinaendicate.

Mnaofahamu about AURAS hii ni nafasi yenu kukomaa zaidi mseme tu nini msichojua na kipi kimekua kigumu kweli ila jinsi ya kunyonya aura kama hauna nguvu tafundisha lakini kwa watu wanaojielewa zaidi si kwa wote

Baada ya kumaliza hapo hamia kwenye mti kumbuka aura reading ni kama kushungulia ulimwengu war oho itakusaidia hata kukwepa uchawi majini nuksi mitego n.k – muda mwingine aura kari huwa ni za mauwa yanayo zunguka nyumba hasa uwaridi rahisi sana kuona. Lakini pia ni ngumu mno. Mfano kutofautisha machungwa na kijani. Emu anzeni zoezi kitakachowasumbua tuone nini.

Baada ya hapo pia utaanza kutumia wanyama kamambwa ndege sungura panya kama wamelala. Utajipima hapo kwenye kivuli cha aura zao je unaiona astral body yao kwa kila pumzi wanayopumua kuingiza na kutoa nje hiyo aura ya kivuli nayo inapanda na kushuka?

Baada ya hapo unatakiwa sasa uanze na kusoma aura yako.

Hapo ukishakua umepitia hizo aura kusoma yako itakuwa rahisi sana utachukua kioo unaweza fanyia ndani au hata nje utatizama kiio kwa kufuata hatua zote kwenye kioo huwa kuna shughuli kidogo maana sura yako inaweza kubadilika badilika sasa anza kwa kiganja na hata ukiwa unaangalia utajiona unabadilika badilika,

Kisha baada ya hapo utakuja kujaribu ya mtu na mtu kumbuka usifanye yote haya kwa siku moja nenda nayo taratibu na kila unachoarchive leta mrejesho,Kwa mwanadamu kitu cha kwanza kabisa utaona etheric body na rangi ya ung’aavu au kama ya kilight blue cha mbali kinachocheza cheza kupanda na kushuka, kama vile moshi hivi unacheza kwenye mwili, Kitakachofuata utaona kama miale inaanza kuchomoza futi kadhaa kutoka ndani cha rangi, inategemea hapa na makali au nguvu ya aura ya mtu. Endelea Hadi pale utakapoona aura inachomoza chini ya hiyo etheric body yaani mvuke wa rangi kama nyeupe au light blue. Huo utatokea mwembamba sana na kuanza kuchomoza taratiibu. Hii itachanua taratibu inategemea na umakiikaji wako, Mpaka hiyo layer ya pili ionekane imekua nene ndio aura yake huyo mtu.

Unaweza pia ukafanya mazoezi haya baada ya kumaster hizo hatua nilizoelekeza hapo juu hadi sehemu unazosubiria mfano stand ya madaladala,airport,kituo cha train, migahawa na sehemu zinginezo ni mazoezi tu ndio yatakayokufanya uone aura kila sehemu.

Kama unataka kuona,kutafsiri na kutambua zinavyoingiliana aura za mtu binafsi, na

Mambo mengineyo kama mtu akidanganya aura gani huinuka mtu akizini aura gani huinuka mtu akikutamani aura gani huinuka mtu asiyekupenda akikuona aura gani huinuka na mengine mengi yajayo na maswali yenu n.k basi mm nipo baada yawewe kumaster zoezi hizo zote..ANGALIZO:

Kaa Mbali Na Watu Wenye Aura Nyeusi Na Wanyama wenye Aura Nyeusi:


1210f-hooks.jpg

Kwa haya na mengineyo:
Tembelea:

Rakims
 
Pia zinasaidia kuwasiliana kwa kutumia mind yaani telepathy.Utaweza kukontrol umeme na radi .pia utaweza kuwasiliana na watu uwatakao kAtika ulimwengu wa 4D.
NB:kama wewe si mzoefu usijaribu kupractise cuz utavanish au to be possessed by demons.
nikivipi mtu anaweza kufanya hivyo..?
 
nikivipi mtu anaweza kufanya hivyo..?

Ni somo pana zaidi ya pure mathematics kwa sababu hata namba zinatumika kwa Advanced learners .
1.Anza kumeditate
2.Acha kuamini dini yako
3.Follow guidance from within
4.acha kuamini uchawi
5.Follow your feelings
6.Develop your intuition by meditating.
Tafuta thread ya how to meditate then follow procedures
 
Rakims binafsi nakiri wewe ni mwalimu Mzuri saana wa spiritual physics knowledge ila kuna jamaa wengi humu wanalalamika una elements za utapeli...sijathibitisha hilo ila nina mashaka maana lisemwalo lipo na kama halipo.......

Nashauri stay focused and determined kutupa Elimu nzuri ya rohoni we will even pay for it if necessary. Ila kwa sharti la wewe kuwa mwaminifu na mwadilifu kwa maandishi yako haya ya kitaalamu.

Enhee! Shusha sasa mondo za Aura mkuu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom