Live: Kizota Dodoma

Live: Kizota Dodoma

  • Thread starter Thread starter MegaPyne
  • Start date Start date
Shyrose banji kimempata nini manake nina kumbukumbu kama kafanya kampeni ya nguvu au hayupo kwenye system?

I think there's something wrong with Bhanji, sio bure. Yaani yeye anabwagwa kila uchaguzi. She ought to think twice before contesting!
 
What abt Lawrance Masha? William Slaa?

Masha hakugombea,alikuwa mpiga debe wa EL,ile pesa waliyopewa na Buzwagi imesaidia sana kumuweka ndanda juu,kimahesabu nadahani El alipata dola m.5..
Camilius Membe,anakuja juu sana..safari ya Urais wa 2015 nadhani itaangukia kwa Upinzani kuchukua urais tu!
 
Mungu apishie mbali...
 
Shyrose banji kimempata nini manake nina kumbukumbu kama kafanya kampeni ya nguvu au hayupo kwenye system?

tumuulize mkuu kilitime aliyesema shy ana mapenzi ya dhati na sisiemu,kuna haja ya kumdiscuss huyu dada,kwanini siasa haimpendi?
 
Masha hakugombea,alikuwa mpiga debe wa EL,ile pesa waliyopewa na Buzwagi imesaidia sana kumuweka ndanda juu,kimahesabu nadahani El alipata dola m.5..
Camilius Membe,anakuja juu sana..safari ya Urais wa 2015 nadhani itaangukia kwa Upinzani kuchukua urais tu!

Ama kweli nchi ina wenyewe!😡
 
niliwahi kukesha siku sita ktk wiki moja, lakini cha moto nilikiona baadae. Hivyo masaa 24 inawezekana kabisa
 
mie mbona sijaelewa majina kama Rostam aziz.Nchimbi hayapo?
 
Hivi, wenyeviti wa jumuiya huingia kwa ajili ya uwenyekiti wao bila kugombea kura?
 
kuhusu nchimbi..nchimbi atakuwemo katika sekretariate ya chama..hata mkimbizi RA<kwa sheria ya uraia ya 1995> Atakuwapo..
kuna hili la Nchimbi kupewa ukatibu wa sisiemu...mie sitaki kulisemea!
shyrose kaanguka sababu alikosa mbinu za kisiasa..kumtumia kingunge ndio kumemuangusha!
 
Prof Mwandosya aligombea na kushinda kupitia ticket ya mkoa wa Mbeya ...ninavyokumbuka...

Kabisa. Huyu alishindanishwa na Ben Mwang'onda na akashinda, kwa hiyo hakugombe nafasi za kapu, ila aligombea nafasi za mkoa.
 
Uchaguzi ndio umeisha, CCM wamechagua na kuchaguana, swali kwenu: Uchaguzi na matokeo yake una maana gani kwa CCM, na kwa nchi hasa tunapoelekea ngwe ya pili ya utawala wa Rais Kikwete na zaidi yote kuelekea 2010? Je, Rais Kikwete anayo haja tena ya kulibadili baraza lake?
 
Gaijin,

Nilipiga debe, ila nadhani rangi yake ni nuksi kwa wabongo!

Mengine ni ya kawaida, ila asiyepita mikoani hakuwa na chake!

Siku njema.
 
Katika pitiapitia yangu sikuona matokeo ya ukatibu. Au ndiyo ina maana hachagyuliwi bali anateuliwa!!
 
Unasema nuksi kwa wabongo au ndani ya CCM? Ila labda ni kwa vile alichokisema kwenye ile TV interview hakikumsaidia...
 
Jibu ni Ndiyo kwa M/kiti wa UWT. Wa hizo jumuiya nyingine sina uhakika.

Hawa wenyeviti wa jumuiya UWT, Wazazi na Vijana wanakuwa automatically wajumbe wa NEC pia wajumbe wa kamati kuu ya chama
 
Back
Top Bottom