Live: Kizota Dodoma

Live: Kizota Dodoma

  • Thread starter Thread starter MegaPyne
  • Start date Start date
Hakuna mwanasiasa anyeweza kukubali hadharani kuwa anasumbuliwa na wapinzani, lakini kama nilivyosema nimemuona mwenye uso kwa uso, na unajua uso huwa hausemi uongo!

Mkuu FMES,

Wakati mwingine nikisoma maneno yako nashawishika kuamini kuwa Kikwete is about to do something. Ila kadri muda unavyokwenda ninakubaliana na ulichosema hapo juu kuwa the guy is resigning to his fate.

Kama hii ni kweli, kwa nini asizuie huu ukaripitalization wa nchi yetu kwa kuzuia nchi hii isiendelee kuuzwa zaidi?
 
Floribert,

Welcome to JF.

Yes I had a warm and nice weekend even as I lost a big chunk of money to my kid sisterz for betting against the Patriots (dont say this to Yournameismine).

Thanks for asking!

Tell your lil' sis' I'll call her tonite..
Thank you for that warm welcome...
 
saa nyingie nashindwa kutofautisha kati ya FACTS na OPINIONS !! kaazi kweli kweli !
 
Muungwana, ukweli ni kwamba hakufanya research za kutosha wakati akiwa kwenye kampeni, na pia hakujua kuwa watu wote waliomzunguka kuwa ni wajanja, viongozi wengi wazee walimwambia wazi wazi kuwa hauwezi urais, lakini haikuwezekana kumzuia, lakini pia simalumu maana kuna mahali alikubali kuwa yuko radhi kuwa waziri mkuu kwanza, labda hiyo ingemsaidia sana in the future,

Sasa makosa yameshafanyika na ukweli ni kwamba sasa hivi yeye yumo kwenye learning process ya urais, na ni sisi wananchi tuliodai kwa nguvu zote kuwa tunataka vijana, I mean we are in this mess all together wakuu!
 
Mkuu Dua,

Heshima mbele,

Uchaguzi bado, kesho mwenyekiti atawasilisha majina ya wajumbe anowataka wa skretariati, jina la katibu mkuu, na wajumbe wa kamati kuu pia watapigiwa kura kesho, kwa hiyo bado mkuu mchezo haujaisha!

Mkuu FMES,

naomba nikuulize swali hapa kidogo kuchota your deep understanding ya mambo ya ccm.

Hivi kumbe wajumbe wa cc wanapendekezwa na mwenyekiti wa chama?
This week nimejifunza kuwa m/kiti anapendekezwa na Mwenyekiti, na baada ya kusoma hapo juu nimeona kuwa kumbe hata katibu pia atapendekezwa na Mwenyekiti.

Inatokea nini kama wajumbe wakimkataa mpendekezwa na rais katika nafasi yoyote kati ya hizo hapo juu?
 
Mkuu Mwenzangu MMJ,

Ninakusikia, maji yalishamwagika leo rais hawezi kusema bunge likae upya kuunda kamati ya madini na kuchunguza malalamiko ya wananchi, itakuwa ni kumdhalilisha waziri mkuu ambaye ndiye mkuu wa serikali bungeni,

Halafu at the same token, bado tuko kwenye system ya unazi, kumbuka mambo mengi ambayo rais ameyafanya Dodoma this time sio kabisa nia yake binafsi na wenzake wa Mtandao, isipokuwa ni kuelemewa na asilia ndio maana wameanza kukubali, sasa itachukua muda, lakini mimi ninaheshumu the fact kwamba hata eyey mwenyewe amekubali kuwa malalamiko ya wananchi kuhusus madini yanamkera na yeye pia,

Unajua ndio maana nimetabiri mahali nyuma kuwa kuna uwezekano mkubwa Muungwana, asimalze term ya pili, few weeks ago nilikutana naye uso uso na kuongea naye, yaani mkuu wangu ni clear kabisa kuwa mkuu amesha-resigne to his fate kwamba mambo ni mazito na hayawezi!

Sasa kwa nini asitumie utaalamu wake wa kijeshi kupata watu makini wa kumsaidia zaidi ya kuendekeza Urafiki?
Sio watu wazuri wawe ni wale wanao jipendekeza kwako, kwanza mtu akijipendekeza kwangu nita muona hafai au he/she is cheap.
na atakuwa hana faida kwangu zaidi ya kutaka kuni chomoa au kutaka favour
 
1.
naomba nikuulize swali hapa kidogo kuchota your deep understanding ya mambo ya ccm.
Hivi kumbe wajumbe wa cc wanapendekezwa na mwenyekiti wa chama?

Hapana mwana-ccm yoyote anaruhusiwa kujaza fomu za kugombea cc, majina hupelekwa kuchujwa na NEC, baadaye hupigiwa kura na NEC nzima. Lakini mwenyekiti huhusika sana katika kuwapigia kampeni wale wanaowataka kuwemo humu cc, maana yeye mwenye kabla hajawa rais alikuwa akiitumua sana hii kamati kutoa machungu yake kiroho mbaya.

2.
This week nimejifunza kuwa m/kiti anapendekezwa na Mwenyekiti, na baada ya kusoma hapo juu nimeona kuwa kumbe hata katibu pia atapendekezwa na Mwenyekiti.
Inatokea nini kama wajumbe wakimkataa mpendekezwa na rais katika nafasi yoyote kati ya hizo hapo juu?

Mwalimu, ndiye aliyeamua kuwa mwenyekiti wa ccm lazima awe rais kama ccm iko madarakani, Mkapa hakutaka hiyo nafasi alitaka kumuachia Malecela, Mwalimu akaingilia kati. Jina la mwenyekiti wa ccm huletwa ukumbini na katibu wa ccm, mwenyekiti wa ccm ndiye hutoa jina la katibu lipigiwe kura, katika historia ya ccm ni Mwalimu tu aliyekataliwa na wajumbe kumpitisha Salim, kwenye urais, wajumbe wote wa Zanzibar walikataa kata kata, lakini otherwise huwa wanampitisha tu jina lolote linaloletwa na rais.
 
By the way Field Marshall unaonekana sio fisadi, sasa unapokutana na Mkuu Mbona huonyeshi kumsaidia, kama vitu tunavyosema sisi kupitia JF, na ukaongezea na akili zako, ili mambo yaende mswano
 
1.

katika historia ya ccm ni Mwalimu tu aliyekataliwa na wajumbe kumpitisha Salim, kwenye urais, wajumbe wote wa Zanzibar walikataa kata kata, lakini otherwise huwa wanampitisha tu jina lolote linaloletwa na rais.

hapa umenigusa kweli, kumbe Mwalimu alikuwa ni mtu wa demokrasia siyo kwa maneno tu bali pia kwa matendo.. yaani alikubali kukataliwa.. sasa Benjamini kilimshinda nini 2005? Na kama watu wa Zanzibar waliweza kumkataa Salim hivyo leo mbona hatuna watu huku bara ambao wanaweza kumdindia mwenyekiti? au ndio alama za nyakati hizi..?
 
hapa umenigusa kweli, kumbe Mwalimu alikuwa ni mtu wa demokrasia siyo kwa maneno tu bali pia kwa matendo.. yaani alikubali kukataliwa.. sasa Benjamini kilimshinda nini 2005? Na kama watu wa Zanzibar waliweza kumkataa Salim hivyo leo mbona hatuna watu huku bara ambao wanaweza kumdindia mwenyekiti? au ndio alama za nyakati hizi..?

Demokrasia ya chama kimoja unaiita demokrasia...?
 
Na kama alikuwa mtu wa demokrasia hivyo inakuwaje '95 alishinikiza (kwa vitisho) wamteue Mkapa badala ya Kikwete....si angeacha tu demokrasia itendeke...?
 
Neno democracy ni neno ambalo lina kuwa abused kila kukicha, kwasababu ni jambo[democracy] la kufikirika, mithili ya rangi ya kinyonga.
 
hivi wapi duniani kuna democracy ???? cuz i dont find anywhere on the map, or in the news !

KUMBUKA : kuchagua viongozi kwa kupiga kura tu, au kuondoa kiongozi madarakani does not fulfill neno "Democracy"
 
Floribert N.N
i knew it you would be after me !(he teh teh )

kwani ukiambiwa mboga, basi wee unajua majani ya maboga ya maboga tu, huangalii kama yameiva, chumvi sawa sawa, maji n.k ?
 
Back
Top Bottom