Nadhani nisahihi kwasababu waliofanya uhuni ni wengi sana na wapo mtaani tu wanakula bata na wengine ni viongozi kabisa,Kwa Sabaya ni kafara tu ila waliokuwa wanamtuma wapo tu...... binafsi naona itakuwa sawa kabisa
 
Sabaya ni bonge la kiongozi, mama mpe Ka kitengo hapo Ikulu akunyoshee wahuni, ikipendeza mpe ukuu wa mkoa wa DSM kama miez miwili hivi akusafishie panya road, then umrudishe chawa wako Makala the great
Mkuu naona cha arusha hakiko sawa sasa unaamua kula cha SWAZI a.k.a Skanka 😂😂😂
 
Ulivyosema anakula maisha ulikuwa una maanisha bashite ni mumeo?
Wapi nmesema anakula maisha!..?

Yeye mwenyewe alishajisemea anaponda raha duniani.

Sasa wewe unasema anaishi kwa wasiwasi kwani ni mumeo yule hadi ujue jinsi anavyoishi?
 
Kesi ya uhujumu uchumi kifungo chake hakizidi miaka mitano kama sijakosea.Kwa Sabaya kupangua hii kesi ni ushindi mkubwa sana kwake hata kama ya uhujumu uchumi atashindwa.

..nashangaa hii mada inajadiliwa bila kuwa na reference ya HUKUMU iliyosomwa mahakamani.

..nimesoma gazeti la Mwananchi na wanaripoti kwamba, Jaji amekubali kwamba Sabaya na wenzake wamepora, asichokubaliana nacho ni matumizi ya silaha.

..mpaka hapa nadhani ni mapema kusema Sabaya ameruka kihunzi hiki. Upo uwezekano wa serikali kukata rufaa.
 
Wewe ni pimbi, mambo ya kunyoa yameingiaje hapa, nilichosema Sabaya yupo jela hata sasa ninavyoandika hapa amerudi kama mahabusu.
Inaonekana kiingereza kinakupiga chenga, haya basi ameenda nyumbani
Nauliza hiviii sabaya amenyoa upara?
 
Kwa maana hiyo hata hii kesi ya Albert Bashite haina mashiko.

Kubenea achana na hii kesi, utapoteza pesa na muda wako bure.
 
View attachment 2213874
Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake
kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha.



View attachment 2213907

Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe moja ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mahakama Kuu ya kumwachia huru muda huu. Warufani wengine katika kesi hiyo ni Silvester Nyegu na Daniel Mbura, waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka matatu ya unyang'anyi kwa kutumia silaha.

Oktoba 15, mwaka 2021, Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Odira Amworo, alimtia hatiani Ole Sabaya na wenzake kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela.



View attachment 2213863
Ole Sabaya wakati akifikishwa Mahakamani kusikiliza rufaa yake Mei, 2022


Pia, soma=> Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha
Mhhhhhh, hii Nchi ngumu Sana kuliko Afghanistan....
 
Back
Top Bottom