Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,408
Tanzania hakujawahi kufanyika uchaguzi wa haki na huruNi mwaka gani Wapinzani wamewahi kukubali matokeo yaliyoonesha wameshindwa?

Karatasi za kura unazifaahamu uilienda kupiga kura?? Izo no sample ambazo zilitumika katika seminar ,ukiangalia nyuma ni plain na haina confidential Bali zimeandikwa mafunzo, anyway walizikutia wapi ktk sanduku la kura? Na ni wapi zimetolewa maelezo ganikama mlijua wananchi wamewakataa kwenye masanduku ya kura kulikua na haja gani mkaanza kutengeneza haya makura feki???
ndiyo nilienda kupiga kura na karatasi za kura nazifahamu.....hizo sio sample zilizotumika katika mafunzo..kwanza tangu lini sample ikapigwa muhuri wa tume,sample zilizotumika kwenye mafunzo ni plain na ni white...sample haina muhuri...ni bahati mbaya tu hujui unataka kumdanganya mtu ambaye humjui ni nani...Karatasi za kura unazifaahamu uilienda kupiga kura?? Izo no sample ambazo zilitumika katika seminar ,ukiangalia nyuma ni plain na haina confidential Bali zimeandikwa mafunzo, anyway walizikutia wapi ktk sanduku la kura? Na ni wapi zimetolewa maelezo gani
Haya bwana tumekupataKwanini upinzani umeanguka vibaya:
1) Hakuna Mtanzania yeyote anayeweza kuchagua mbunge ambaye anashauri mashirika ya fedha na wadau wa maendeleo wasiipe fedha Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa nchi yetu, hili liwe funzo watu wabishane kwa hoja lakini si kuchoma nyumba tunayoishi sote.
2) Hakuna Mtanzania anayeweza kuchagua mbunge ambaye hadi leo anaamini Corona ipo na akili zake ni kufanya lockdown, nasema Watanzania hawako tayari kwa hilo kabisa.
3) Hakuna Mtanzania anayeweza kukipigia kura chama kilichojipambanua wazi kwamba kitaweka rehani rasilimari za nchi yetu kama mafuta, madini, gesi na mbuga ili kuweza kukopa fedha nje kwa ajili ya kuleta maendeleo hapa nchini, watu wanaogopa kuweka rehani nyumba zao sembuse mali za nchi, hii ni sera mbovu sana kuwahi kutokea.
4) Hakuna Mtanzania ambaye anaweza kukubali kukipigia chama kinachopanga kubinafsisha miradi ya kimkakati kama Bwawa la Umeme, SGR inayoendelea kujengwa na kuwapa watu binafsi ambao ni wao wenyewe, tumeshatoka huko na hatutaki kurudi tena kwenye ujinga huo. Being there done that no turning back.
5) Hakuna Mtanzania ambaye anaweza kuchagua chama kinachotaka kuzidi kufukarisha maskini kwa kurasimisha madalali kama kangomba, chama cha ACT kiliifanya hii kuwa sera yao kuu kwenye uchaguzi huu, na wananchi wameweza kuwajibu vizuri.
6) Wananchi wanapenda viongozi wenye hofu ya Mungu sio wale viongozi wanaobeza kumtegemea Mungu kama Tundu Lissu alivyokuwa anajidai kutumia science ya kuiga kuthibiti Corona huku akikejeri wito wa maombi uliotolewa na Mheshimiwa Rais Magufuli, akidai Mungu yuko busy hawezi dili na upuuzi huo. Bado aliacha kuvaa barakoa pamoja na matusi yake yote na kukusanya watu bila kujali taratibu za kujikinga na Corona.
7) Hakuna Mtanzania anayeweza kumchagua mbunge ambae anapinga na hana wazo la kuwajengea Wananchi Hospitali, Bandari, Meli, Barabara, Umeme, Maji, Kilimo, Shule bure, na mengine kama hayo, hakuna kabisa. Hivi wao wanaviita ni vitu na si maendeleo ya watu kwahiyo kwao havina maana wakati wananchi wanavitaka.
8) Wananchi wanapenda vitu vinavyowatatiza viongelewe na vipewe suluhu, sasa wapinzani wanapoongelea kuwapa wananchi uhuru, sera ngumu sana kueleweka kwasababu watu wako huru unawezaje kuwaahidi uhuru, uhuru upi wa kutukana matusi ama upi, kwahiyo hapa upinzani hawakuwa na agenda ya msingi na walipoteza muda mwingi kulihubiri hili kumbe ni tatizo lililopo vichwani mwao tu na wananchi wameshindwa kuwaelewa.
9) Kulikuwa kuna tofauti kubwa sana ya kuhubiri ilani, mgombea wa CCM alikuwa akifika sehemu anakuwa anayajua matatizo halisi ya eneo husika, kama ni maji, hospitali, uhitaji wa mji, mambo ya ardhi n.k na amekuwa akiyaongelea hayo matatizo halisi wakati Tundu Lissu ataanza kuongelea uhuru wakati wananchi wa eneo husika wanahitaji Hospital ama shule ama maji, ni ngumu kuchagulika ni ngumu sana. Tunawachagua wanaoyajua matatizo yetu halisi kabisa si matatizo yao kuyafanya ni ya kwetu.
10) Mimi kutomchagua Lissu, Mbowe, Sugu, Msigwa ama Lema hakunisumbui chochote kwa sababu kwanza hawana mahusiano mazuri na serikali, hawawezi kuongea na Rais kwa maana hiyo hawawezi lobby matatizo ya jimbo letu yatatuliwe, kwahiyo ntajisikia vizuri nikiwa na mbunge ambaye ana access na waziri husika na hata Rais inapobidi si mtu ambaye anapayuka na kubwabwaja bila mpango wowote, so napenda nipate mbunge mwenye mahusiano mazuri na viongozi wa serikali ili matatizo yetu yatatuliwe haraka.
Wenu katika ujenzi wa nchi.
Mwanakijiji Mpenda Nchi.
Nakupa takwimu kwa KAWE ndugu,ujifunze jambo hapo japo kwa uchache..ndiyo nilienda kupiga kura na karatasi za kura nazifahamu.....hizo sio sample zilizotumika katika mafunzo..kwanza tangu lini sample ikapigwa muhuri wa tume,sample zilizotumika kwenye mafunzo ni plain na ni white...sample haina muhuri...ni bahati mbaya tu hujui unataka kumdanganya mtu ambaye humjui ni nani...
mama D binafsi nilikuwa ninajua wapinzani watashindwa uchaguzi Lakini sikujua wataanguka kwa tofauti kubwa kiasi hiki nikabidi nifanye uchunguzi je Ni Kweli wameibiwa?nikaanza na jimbo langu la ubungo ukumbuke kuwa jimbo Hili Ni ngome la upinzani me nina rafiki yangu ambaye Ni mwanachama wa CHADEMA na Ni mmoja ya watu walioteuliwa kuwa wakala wa chama na ameteuliwa kwenye kata ya 770 kimara baruti ambapo tunapokaa nikamuuliza vipi uko Kuna dhuluma au kura zimeibiwa akasema Hakuna na nikamuuliza kura zilikuaje akaniambia waliopiga kura Ni 1200 Magu akapata 702 wakati Lissu akapata kura 107 me nilimuuliza kwa hao watu tu akanitajia hivyo na kura za ubunge akasema Ni hivyo hivyo wagombea wamepata.Wakati 2015 huku CHADEMA walipata kata zote so Kama tu huku CCM wameshinda kwa kura nyingi hizo basi hamna Shaka kweli CCM washinda kwa haki.Hakuna mwanasiasa bila wananchi, na ili mwanasiasa aweze kuendelea kuwa kiongozi lazima ayajue matatizo na mahitaji ya wananchi na aweze kuyatatua
mama D binafsi nilikuwa ninajua wapinzani watashindwa uchaguzi Lakini sikujua wataanguka kwa tofauti kubwa kiasi hiki nikabidi nifanye uchunguzi je Ni Kweli wameibiwa?nikaanza na jimbo langu la ubungo ukumbuke kuwa jimbo Hili Ni ngome la upinzani me nina rafiki yangu ambaye Ni mwanachama wa CHADEMA na Ni mmoja ya watu walioteuliwa kuwa wakala wa chama na ameteuliwa kwenye kata ya 770 kimara baruti ambapo tunapokaa nikamuuliza vipi uko Kuna dhuluma au kura zimeibiwa akasema Hakuna na nikamuuliza kura zilikuaje akaniambia waliopiga kura Ni 1200 Magu akapata 702 wakati Lissu akapata kura 107 me nilimuuliza kwa hao watu tu akanitajia hivyo na kura za ubunge akasema Ni hivyo hivyo wagombea wamepata.Wakati 2015 huku CHADEMA walipata kata zote so Kama tu huku CCM wameshinda kwa kura nyingi hizo basi hamna Shaka kweli CCM washinda kwa haki.
Halali yake kutafuna wote sampuli yako!Wewe ni bonge la braza kwa mama D
Tunarhyme💥🇹🇿🖐👍
Halali yake kutafuna wote sampuli yako!
Hizi shule za kata Hamna kitu na ndio mtaji Wa ccm.Wameshindwa kujipanga wakiwa na pesa ya ruzuku, sembuse wakiwa kapuku!
Baada ya miaka 20 labda !
Na matokeo hewaKura hewa zilizotengenezwa kabla ya tarehe ya Uchaguzi.
Kapurwa siko zote huwa mjinga kama wewe,umeandika gazeti utopolo mtupu wabunge wa ccm wote ni viti maalumu,yani 264 wote wanawakeKwanini upinzani umeanguka vibaya:
1) Hakuna Mtanzania yeyote anayeweza kuchagua mbunge ambaye anashauri mashirika ya fedha na wadau wa maendeleo wasiipe fedha Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa nchi yetu, hili liwe funzo watu wabishane kwa hoja lakini si kuchoma nyumba tunayoishi sote.
2) Hakuna Mtanzania anayeweza kuchagua mbunge ambaye hadi leo anaamini Corona ipo na akili zake ni kufanya lockdown, nasema Watanzania hawako tayari kwa hilo kabisa.
3) Hakuna Mtanzania anayeweza kukipigia kura chama kilichojipambanua wazi kwamba kitaweka rehani rasilimari za nchi yetu kama mafuta, madini, gesi na mbuga ili kuweza kukopa fedha nje kwa ajili ya kuleta maendeleo hapa nchini, watu wanaogopa kuweka rehani nyumba zao sembuse mali za nchi, hii ni sera mbovu sana kuwahi kutokea.
4) Hakuna Mtanzania ambaye anaweza kukubali kukipigia chama kinachopanga kubinafsisha miradi ya kimkakati kama Bwawa la Umeme, SGR inayoendelea kujengwa na kuwapa watu binafsi ambao ni wao wenyewe, tumeshatoka huko na hatutaki kurudi tena kwenye ujinga huo. Being there done that no turning back.
5) Hakuna Mtanzania ambaye anaweza kuchagua chama kinachotaka kuzidi kufukarisha maskini kwa kurasimisha madalali kama kangomba, chama cha ACT kiliifanya hii kuwa sera yao kuu kwenye uchaguzi huu, na wananchi wameweza kuwajibu vizuri.
6) Wananchi wanapenda viongozi wenye hofu ya Mungu sio wale viongozi wanaobeza kumtegemea Mungu kama Tundu Lissu alivyokuwa anajidai kutumia science ya kuiga kuthibiti Corona huku akikejeri wito wa maombi uliotolewa na Mheshimiwa Rais Magufuli, akidai Mungu yuko busy hawezi dili na upuuzi huo. Bado aliacha kuvaa barakoa pamoja na matusi yake yote na kukusanya watu bila kujali taratibu za kujikinga na Corona.
7) Hakuna Mtanzania anayeweza kumchagua mbunge ambae anapinga na hana wazo la kuwajengea Wananchi Hospitali, Bandari, Meli, Barabara, Umeme, Maji, Kilimo, Shule bure, na mengine kama hayo, hakuna kabisa. Hivi wao wanaviita ni vitu na si maendeleo ya watu kwahiyo kwao havina maana wakati wananchi wanavitaka.
8) Wananchi wanapenda vitu vinavyowatatiza viongelewe na vipewe suluhu, sasa wapinzani wanapoongelea kuwapa wananchi uhuru, sera ngumu sana kueleweka kwasababu watu wako huru unawezaje kuwaahidi uhuru, uhuru upi wa kutukana matusi ama upi, kwahiyo hapa upinzani hawakuwa na agenda ya msingi na walipoteza muda mwingi kulihubiri hili kumbe ni tatizo lililopo vichwani mwao tu na wananchi wameshindwa kuwaelewa.
9) Kulikuwa kuna tofauti kubwa sana ya kuhubiri ilani, mgombea wa CCM alikuwa akifika sehemu anakuwa anayajua matatizo halisi ya eneo husika, kama ni maji, hospitali, uhitaji wa mji, mambo ya ardhi n.k na amekuwa akiyaongelea hayo matatizo halisi wakati Tundu Lissu ataanza kuongelea uhuru wakati wananchi wa eneo husika wanahitaji Hospital ama shule ama maji, ni ngumu kuchagulika ni ngumu sana. Tunawachagua wanaoyajua matatizo yetu halisi kabisa si matatizo yao kuyafanya ni ya kwetu.
10) Mimi kutomchagua Lissu, Mbowe, Sugu, Msigwa ama Lema hakunisumbui chochote kwa sababu kwanza hawana mahusiano mazuri na serikali, hawawezi kuongea na Rais kwa maana hiyo hawawezi lobby matatizo ya jimbo letu yatatuliwe, kwahiyo ntajisikia vizuri nikiwa na mbunge ambaye ana access na waziri husika na hata Rais inapobidi si mtu ambaye anapayuka na kubwabwaja bila mpango wowote, so napenda nipate mbunge mwenye mahusiano mazuri na viongozi wa serikali ili matatizo yetu yatatuliwe haraka.
Wenu katika ujenzi wa nchi.
Mwanakijiji Mpenda Nchi.
Hamna mabegi feki ya kura mkuu, uchaguzi huu ulikuwa wa wazi kabisa angalia tangu kipindi Cha kampeni ccm walikuwa wamepania sana walifanya kampeni kwa kishindo, magufuri alikuwa anatembea na gari percent kubwa ya wilaya kapita na watu walikuwa wengi, siasa ni sayansi. Wakati ccm wanaangaika na wapiga kura, cdm na atc wanapambana na membe
Kwanini upinzani umeanguka vibaya: