Uchaguzi 2020 Kwanini Vyama vya Upinzani nchini Tanzania vimeanguka vibaya sana katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani

Tatzo lao walikuwa na fikra kwamba Watanzania bado wajinga vilevile Kila kitu kupinga kisa wao wapinzani, washaonyeshwa makali sasa & hope 2025 watajipanga kwa sera nzuri.
Hovyo sana wewe
 
Usiwadharirishe wakuu wa chama na serikali waliozimisha kampeni ya kushughurikia mashoga iliyo anzishwaga na Makonda
Kwa ufahamu wako mdogo unadhani kuwa CDM ndio watetezi wa mashoga, hivi hujui kuwa mashoga ndio mtaji na wachangiaji wakubwa wa wa raslimali za ccm?
Pole kwa kuwadharirisha viongozi wako
Utakuaje na manzi au mke wakati wanaume mlikua na mikakati ya kuhalalisha kuolewa na wanaume wenzenu. Hizi post zako hapa tuu zinawakilisha akili mlivyo, hamna hoja za kujenga ila matusi tuu na jazba

CHADEMA yenye dira ilijifiaga Dr Slaa alipowaacha na ACT imeondoka na jembe mama mghwira
 
mama D nakukubali Sana unajua Sana kujenga hoja kuliko hata wanaume wengi ambao wapo humu ingawa me sio mpenzi wa CCM Wala CHADEMA kiufupi me si mpenzi wa vyama Lakini napenda mtu ambaye anajua kujenga hoja na kutetea hoja bila matusi au miemuko bila kujali yupo upande gani wa siasa au Hana Itikadi ya vyama

Asante sana innocent dependent baada ya maneno mabaya na ya kuudhi toka kwa baadhi ya wanaume, niseme tuu hii comment yako imenijenga hata ya unavyoweza kujua.
Shukrani kwako na kwa wanaume wengine wote wanaoweza kawaambia wanawake ukweli pale wanapofanya sawa au wanapokosea bila kuwatukana au kuwadhalilisha. Haipingiki kwamba wanaume ni muhimu sana katika maendeleo ya wanawake kama ilivyo wanawake kwa wanaume.
 
Uchaguzi huu umedhulumiwa.Hilo liko wazi kwa kila mtu ikiwa ni pamoja na wewe.Baada ya CCM kulawiti uchaguzi huu jiandae kwa wananchi wote kuanza kulawitiwa ikiwa ni pamoja na wana CCM wote.Kwenye hilo hakutakuwa na ubaguzi.Shetani(dikteta) huwa hana rafiki.Kuzimwa kwa internet/mitandao ya kijamii ni manyunyu tu,the worst is yet to come!Usifikiri kuwa upo salama kwa sababu upo CCM.

Stephano Mgendanyi haupo salama wewe wala familia yako wala ndugu zako wala marafiki zako.Njia pekee ya wewe kuwa salama ni kusimamia haki,kupinga dhuluma hii na kuwa upande wa wale wote wanaopinga ulawiti huu wa demokrasia Tanzania uliofanywa na CCM.

Ni mwaka gani Wapinzani wamewahi kukubali matokeo yaliyoonesha wameshindwa?
 
Kwanini upinzani umeanguka vibaya:

1) Hakuna Mtanzania yeyote anayeweza kuchagua mbunge ambaye anashauri mashirika ya fedha na wadau wa maendeleo wasiipe fedha Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa nchi yetu, hili liwe funzo watu wabishane kwa hoja lakini si kuchoma nyumba tunayoishi sote.

2) Hakuna Mtanzania anayeweza kuchagua mbunge ambaye hadi leo anaamini Corona ipo na akili zake ni kufanya lockdown, nasema Watanzania hawako tayari kwa hilo kabisa.

3) Hakuna Mtanzania anayeweza kukipigia kura chama kilichojipambanua wazi kwamba kitaweka rehani rasilimari za nchi yetu kama mafuta, madini, gesi na mbuga ili kuweza kukopa fedha nje kwa ajili ya kuleta maendeleo hapa nchini, watu wanaogopa kuweka rehani nyumba zao sembuse mali za nchi, hii ni sera mbovu sana kuwahi kutokea.

4) Hakuna Mtanzania ambaye anaweza kukubali kukipigia chama kinachopanga kubinafsisha miradi ya kimkakati kama Bwawa la Umeme, SGR inayoendelea kujengwa na kuwapa watu binafsi ambao ni wao wenyewe, tumeshatoka huko na hatutaki kurudi tena kwenye ujinga huo. Being there done that no turning back.

5) Hakuna Mtanzania ambaye anaweza kuchagua chama kinachotaka kuzidi kufukarisha maskini kwa kurasimisha madalali kama kangomba, chama cha ACT kiliifanya hii kuwa sera yao kuu kwenye uchaguzi huu, na wananchi wameweza kuwajibu vizuri.

6) Wananchi wanapenda viongozi wenye hofu ya Mungu sio wale viongozi wanaobeza kumtegemea Mungu kama Tundu Lissu alivyokuwa anajidai kutumia science ya kuiga kuthibiti Corona huku akikejeri wito wa maombi uliotolewa na Mheshimiwa Rais Magufuli, akidai Mungu yuko busy hawezi dili na upuuzi huo. Bado aliacha kuvaa barakoa pamoja na matusi yake yote na kukusanya watu bila kujali taratibu za kujikinga na Corona.

7) Hakuna Mtanzania anayeweza kumchagua mbunge ambae anapinga na hana wazo la kuwajengea Wananchi Hospitali, Bandari, Meli, Barabara, Umeme, Maji, Kilimo, Shule bure, na mengine kama hayo, hakuna kabisa. Hivi wao wanaviita ni vitu na si maendeleo ya watu kwahiyo kwao havina maana wakati wananchi wanavitaka.

8) Wananchi wanapenda vitu vinavyowatatiza viongelewe na vipewe suluhu, sasa wapinzani wanapoongelea kuwapa wananchi uhuru, sera ngumu sana kueleweka kwasababu watu wako huru unawezaje kuwaahidi uhuru, uhuru upi wa kutukana matusi ama upi, kwahiyo hapa upinzani hawakuwa na agenda ya msingi na walipoteza muda mwingi kulihubiri hili kumbe ni tatizo lililopo vichwani mwao tu na wananchi wameshindwa kuwaelewa.

9) Kulikuwa kuna tofauti kubwa sana ya kuhubiri ilani, mgombea wa CCM alikuwa akifika sehemu anakuwa anayajua matatizo halisi ya eneo husika, kama ni maji, hospitali, uhitaji wa mji, mambo ya ardhi n.k na amekuwa akiyaongelea hayo matatizo halisi wakati Tundu Lissu ataanza kuongelea uhuru wakati wananchi wa eneo husika wanahitaji Hospital ama shule ama maji, ni ngumu kuchagulika ni ngumu sana. Tunawachagua wanaoyajua matatizo yetu halisi kabisa si matatizo yao kuyafanya ni ya kwetu.

10) Mimi kutomchagua Lissu, Mbowe, Sugu, Msigwa ama Lema hakunisumbui chochote kwa sababu kwanza hawana mahusiano mazuri na serikali, hawawezi kuongea na Rais kwa maana hiyo hawawezi lobby matatizo ya jimbo letu yatatuliwe, kwahiyo ntajisikia vizuri nikiwa na mbunge ambaye ana access na waziri husika na hata Rais inapobidi si mtu ambaye anapayuka na kubwabwaja bila mpango wowote, so napenda nipate mbunge mwenye mahusiano mazuri na viongozi wa serikali ili matatizo yetu yatatuliwe haraka.

Wenu katika ujenzi wa nchi.

Mwanakijiji Mpenda Nchi.
Sababu ni wizi wa kura. Umeandaliwa na kutekelezwa hivi.

1. Ma dc wote nchini ni makada walioshiriki uchaguzi mwaka 2015 wakashindwa, hawa ndo wakuu wa wilaya zote nchini.

2. Wakurugenzi wa halimashauri wote nchini, ni makada ya ccm, na ndio wasimamizi wa uchaguzi majimboni.

3. Watendaji wa kata ambao ni maafisa uchaguzi ngazi ya kata, wengi ni makada wa ccm waliopata kazi kwa u ccm wao.

4. Wakurugenzi waliambiwa wazi, unalipwa mshahara, una gari ole wako utangaze wapinzani eti wameshinda.

5. WEO's wote waliitwa ikulu dodoma, kupewa sumu na meko. Kumbuka wengi ukiaacha wale wakongwe, ni makada wa ccm. Ajira zao ni sababu ni wana ccm. Wakiwa dodoma, walipewa kazi maalumu ndo hii wameifanya.

6. WEO's na waratibu elimu kata, kwa miezi mitatu wamekuwa wakilipwa tsh 600,000/- sawa na 1,800,000/-. Hapo ondoa posho walizolipwa kwa semina na usimamizi wa uchaguzi. Wamelipwa vizuri sana.

7. Wasimamizi na waongozaji wote walilishwa kiapo na kutishiwa kufukuzwa kazi iwapo tu kwenye kata zao iwapo ccm itashindwa. Waliagizwa kuhakikisha ccm inashinda, liwake jua au inyeshe mvua. Wametekeleza kiapo chao.

8. Askari wote waliambiwa wasiingilie uchaguzi, wao walinde amani tu, kuna rafu za hatari walizioana lkn hawakuchukua hatua. Mahali pengine wakala wa vyama vya upinzani alifanyiwa fujo, kunyimwa barua lkn yeye ndo alikamatwa na kupelekwa mahabusu. Hivyo vituo vingi havikuwa na mawakala isipokuwa ccm na makada wao waliovaa tshirt za tume

9. Njaa za mawakala wa upinzani. Ukitoka tu kukojoa, muda ule ulitosha kuchana karatasi zaidi ya 100/min na kuzitumbukiza kwenye sanduku. Kura za waliojiandikisha kupiga kura, zilipigwa kwa mtindo huo.

10. Fujo vituoni na wakiitwa polisi, wanawaita mawakala pembeni, muda huo ndio uliotumika na wasimamizi wa uchaguzi kuandika kura za ccm. Tayari washa ratibu kufahamu nani watapiga nani wamekufa, nani wamesafiri, zote hizo zilienda ccm.

11. Mahali kwingine kura zimekuwa turned upside down, yaani kura nyingi za upinzani anapewa ccm, chache zinakuwa za mgombea wa ccm.

Solutions za matatizo haya
1. Kutoa adhabu ya kifo kwa mwenyekiti wa tume, mkurugenzi wa tume na maafisa wote wa tu, DC, ded, afisa uchaguzi wilaya na wasimamizi wote vitokee kwa pamoja nchi nzima.

2. Adhabu ya kifo kwa waliotangazwa washindi nchi nzima. Asionewe mtu aibu, mwizi na afe. Kama uchawi upo na una nguvu, utumike tu

3. Wakifa wote, uchaguzi utaanza upya na hapo ndo nafasi nzuri ya kudai kuundwa kwa tume ya uchaguzi tena wasimamizi wilayani na katani wasiwe waajiriwa wa serikali

4. Ikishindikana kuwaua wote, basi mapinduzi.

Swali, nani Tanzania hii ataweza kuyasimamia haya? Watanzania sisi bado tunaamini kuna maisha nje ya siasa. Kwanza tumemisi utani wa Yanga na simba.

Kesho simba wanatoneshwa donda lao wakati Yanga inaongoza ligi. Mwaka huu hakuna swaga za ukiona Yanga anaongoza, ujue simba hajacheza.

Wasalam.
 
Tatzo lao walikuwa na fikra kwamba Watanzania bado wajinga vilevile Kila kitu kupinga kisa wao wapinzani, washaonyeshwa makali sasa & hope 2025 watajipanga kwa sera nzuri.
Kwamba watz wote wanachukia upinzani?? si ndo manake?? hivi ukilinganisha majimbo yaliyoongozwa naupiznani ya yale dominant ya ccm kimaendeleo vinalingana??
 
Hoja yako na za wengine wengi zinaweza kuwa ya msingi katika mtazamo wa upinzani nchini kama wananchi walio wengi watasimama nazo, lakini kama viongozi wa upinzani ndio wanasimama kuwasemea wananchi kwamba hawapati haki zao ilihali hao wananchi wanaona hakuna haki waliyoikosa nawashauri mfanye maamuzi mengine

Maslahi yao binafsi wanalazimisha yawe maslahi ya kila Mtanzania!
 
Wameiba kitoto. Wapinzani hawajaanguka bali wameangushwa. Kilichofanyika hakikuangusha wapinzani tu bali Tanzania kwa ujumla. Sijui tunawafundisha nini vizazi vijavyo.
 
Kwanini upinzani umeanguka vibaya:

1) Hakuna Mtanzania yeyote anayeweza kuchagua mbunge ambaye anashauri mashirika ya fedha na wadau wa maendeleo wasiipe fedha Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa nchi yetu, hili liwe funzo watu wabishane kwa hoja lakini si kuchoma nyumba tunayoishi sote.

2) Hakuna Mtanzania anayeweza kuchagua mbunge ambaye hadi leo anaamini Corona ipo na akili zake ni kufanya lockdown, nasema Watanzania hawako tayari kwa hilo kabisa.

3) Hakuna Mtanzania anayeweza kukipigia kura chama kilichojipambanua wazi kwamba kitaweka rehani rasilimari za nchi yetu kama mafuta, madini, gesi na mbuga ili kuweza kukopa fedha nje kwa ajili ya kuleta maendeleo hapa nchini, watu wanaogopa kuweka rehani nyumba zao sembuse mali za nchi, hii ni sera mbovu sana kuwahi kutokea.

4) Hakuna Mtanzania ambaye anaweza kukubali kukipigia chama kinachopanga kubinafsisha miradi ya kimkakati kama Bwawa la Umeme, SGR inayoendelea kujengwa na kuwapa watu binafsi ambao ni wao wenyewe, tumeshatoka huko na hatutaki kurudi tena kwenye ujinga huo. Being there done that no turning back.

5) Hakuna Mtanzania ambaye anaweza kuchagua chama kinachotaka kuzidi kufukarisha maskini kwa kurasimisha madalali kama kangomba, chama cha ACT kiliifanya hii kuwa sera yao kuu kwenye uchaguzi huu, na wananchi wameweza kuwajibu vizuri.

6) Wananchi wanapenda viongozi wenye hofu ya Mungu sio wale viongozi wanaobeza kumtegemea Mungu kama Tundu Lissu alivyokuwa anajidai kutumia science ya kuiga kuthibiti Corona huku akikejeri wito wa maombi uliotolewa na Mheshimiwa Rais Magufuli, akidai Mungu yuko busy hawezi dili na upuuzi huo. Bado aliacha kuvaa barakoa pamoja na matusi yake yote na kukusanya watu bila kujali taratibu za kujikinga na Corona.

7) Hakuna Mtanzania anayeweza kumchagua mbunge ambae anapinga na hana wazo la kuwajengea Wananchi Hospitali, Bandari, Meli, Barabara, Umeme, Maji, Kilimo, Shule bure, na mengine kama hayo, hakuna kabisa. Hivi wao wanaviita ni vitu na si maendeleo ya watu kwahiyo kwao havina maana wakati wananchi wanavitaka.

8) Wananchi wanapenda vitu vinavyowatatiza viongelewe na vipewe suluhu, sasa wapinzani wanapoongelea kuwapa wananchi uhuru, sera ngumu sana kueleweka kwasababu watu wako huru unawezaje kuwaahidi uhuru, uhuru upi wa kutukana matusi ama upi, kwahiyo hapa upinzani hawakuwa na agenda ya msingi na walipoteza muda mwingi kulihubiri hili kumbe ni tatizo lililopo vichwani mwao tu na wananchi wameshindwa kuwaelewa.

9) Kulikuwa kuna tofauti kubwa sana ya kuhubiri ilani, mgombea wa CCM alikuwa akifika sehemu anakuwa anayajua matatizo halisi ya eneo husika, kama ni maji, hospitali, uhitaji wa mji, mambo ya ardhi n.k na amekuwa akiyaongelea hayo matatizo halisi wakati Tundu Lissu ataanza kuongelea uhuru wakati wananchi wa eneo husika wanahitaji Hospital ama shule ama maji, ni ngumu kuchagulika ni ngumu sana. Tunawachagua wanaoyajua matatizo yetu halisi kabisa si matatizo yao kuyafanya ni ya kwetu.

10) Mimi kutomchagua Lissu, Mbowe, Sugu, Msigwa ama Lema hakunisumbui chochote kwa sababu kwanza hawana mahusiano mazuri na serikali, hawawezi kuongea na Rais kwa maana hiyo hawawezi lobby matatizo ya jimbo letu yatatuliwe, kwahiyo ntajisikia vizuri nikiwa na mbunge ambaye ana access na waziri husika na hata Rais inapobidi si mtu ambaye anapayuka na kubwabwaja bila mpango wowote, so napenda nipate mbunge mwenye mahusiano mazuri na viongozi wa serikali ili matatizo yetu yatatuliwe haraka.

Wenu katika ujenzi wa nchi.

Mwanakijiji Mpenda Nchi.
Hili ndio jambo muhimu kujadili sasa hivi ili kujipanga upya.
Kushindwa vibaya kwa upinzani hususani chama kikuu chadema, binafsi nayaweka ktk sababu mbili. Makosa ya kitaasisi (Chama) na makosa yanayofanywa na mgombe.
MAKOSA YA KITAASISI
1. Chama kimeingia kwenye kinyang'anyio kikiwa hakijajiandaa. Kutojiandaa kumetokana na kupoteza muda mwingi kudhibiti migogoro ya ndani, hasa kuhusu ubadhirifu wa fedha. Kosa hili lilisababisha Mwenyekiti kutumia nguvu sana kudhibiti hata kukiuka mambo mengi ya kikatiba. Utaliona hili hata ktk uchaguzi wa ndani ya chama alipolazimisha nani awe kiongozi na na nani atoswe. Hata makamu wa mwenyekiti alIpatikana kwa tamko tu la mwenyekiti kuwa ameamua awe nani na akampelekea fomu huko alikokuwa.
2. Kosa kubwa jingine ni lile lililofanywa 2019 kususia Uchaguzi wa serikali za Mitaa na CCM Kuchukua mitaa yote. Chadema walikosa viongozi ktk base ya chini kabisa kama fulsa ya kufanya siasa za ushawishi.
3. Ususiaji wa vikao vya Bunge hasa wakati wa janga la Korona kulitoa taswira hasi kwa wapiga kura. Uchafuzi kwa mataifa na Shinikizo ulioshindwa, uliofanywa ndani na nje ya nchi na chama hiki kwa kuongozwa na kushikiwa kidedea na Lissu, lilifanya mtu huyu aonekane kama msaliti wa Taifa. Lissu alitiliwa mashaka na wapiga kura tangu alipoanza kuzunguka duniani akitoa kashfa kwa Taifa lake, inashangaza kwa nini chama kiliamua kumuingiza kwa nguvu katika mchakato wa kinyang'anyio cha ngazi ya juu ya uongozi wa nchi.
4. Kupinga maendeleo waliyoyaita ya vitu hali kuwa wananchi wamekomboka kwa vitu hivyo hivyo ni kosa jingine kubwa. Mbaya zaidi kutaka kuaminisha watu wa maeneo fulani hawasahili kupatiwa maendeleo hayo yanayofanywa nchi nzima kwa kigezo cha atokako Rais imekuwa kichekesho sana hasa pale kwa watu wa eneo hilohilo unalodhani halisitahili kupata vitu hivyo, ati unaenda kuomba kura
MAKOSA YA MGOMBEA:
1. Kosa la kwanza la mgombea ni kutumia madhira ya kujeruhiwa kwa risasi 16 iwe ni kigezo cha kuchaguliwa. Kwa tukio hilo, alianza kampeni kwa kuamiisha kukosekana kwa Demokrasia haki na utawala wa sheria. Cha ajabu akililia hayo mwenyewe na mwenyekiti wake wakionekana mubashara wakiwafukuza waandishi wa habari na walinzi ktk mikutano yao, wakisahau kuwa nao pia ni wapiga kura. Wakipinga mambo ambayo yapo kisheria. Na muda mwingi akizungumzia Hayo bila kueleza atawafanya nini akishika madaraka.
2. Mgombea alijikita katika vitisho akidhani anaitishia serikali CCM na Tume ya uchaguzi. Asijue asijue wapiga kura sio wana CCM tu. vitisho hivyo vinamadhara mpaka wa wapiga kura watakaompigia kura yeye ktk kujitokeza kupiga kura. Alitaka kudanganya wapiga kura kuwa kwa kumtumia wakili wake toka ughaibuni serikali serikali imeingia woga wa kumuacha afanye atakavyo. Kumbe huyu amemharibia kwa kumjengea taswira ya kuwa na mamluki katika mapambano hayo kwa uhuru aliompatia kupambana na serikali kwa niaba yake.
3. Kosa la kiufundi la dakika ya 96 ni kumeza ndoana iliyorushwa na Mgombea wa CCM. Pale alipowaomba vijana wasijiingize kwenye vurugu zinazonadiwa na mgombe huyu sababu yeye ana tiketi ya kuondoka nchi akiwaacha wanashughulikiwa. Bila, kujua madhara yake akajitokeza na kukiri kuwa ni kweli ana tiketi hiyo na ataondoka baada ya uchaguzi. Hiyo pekee imepunguza kura na waliomshabikia kuona hakuna haja ya kusikiliza ushawishi wake wa kufanya vurugu. Hata maagizo ya kutokubaliana na matokeo yamekosa nguvu.
4. Kosa jingine. Alijikita kuaminisha kuonewa kwa Wafanyakazi, wafanya biashara na Wakulima. Kwa hili natawalaumu viongozi wa chama chake iwapo si kiburi cha mgombea wao. Hawaku mfahamisha, kwa miaka mitatu aliyokuwa ughaibuni Rais alishakutana wa makundi hayo na wakamueleza shida zao, wakulima wakafutiwa kodi zenye kero, road brock zikabaki kwa wakulima/wafanyabiashara wakubwa wa mazao. Wafanyabiashara wakaeleza na kutatuliwa matatizo yao na TRA. Wamachinga wakatatuliwa matatizo yao. Wachimbaji madini wakubwa kwa wadogo n.k. Tena kwa kero nyingine kutatuliwa papo kwa papo ktk mikutano yake na makundi hayo. Matokeo ndiyo hayo, makundi yote hayo yamemupuuza na kumchagua mgombea ayedhani anamfitini nao.
 
wewe muongo sana , wananchi wamewakataa kwenye boksi la kura
kama mlijua wananchi wamewakataa kwenye masanduku ya kura kulikua na haja gani mkaanza kutengeneza haya makura feki???
 
Attachments

  • hemedy_ally_20201030_1.jpg
    hemedy_ally_20201030_1.jpg
    33.1 KB · Views: 1
YANI MIMI VYOVYOTE ILIVYOSHINDA CCM NI SAWA TU WAWE WAMEIBAA WAU KEA HALALI NI SAWA KABISA. YANI KULIKO KUMPA NCHI LISSU NA CHADEMA EBU FIKILI ULAYA LOCKDOWN INARUDI IVI SI WANGETUFUNGIA NDANI HAWA HALAFU WAZUNGU WAIBE DHAHABU WEEEE MPKA LOCKDOWN INAISHA TUNGEKUWA CHALII YANI LISSU UMENIUDHI SANA KUSHOBOKEA MABEBERU NABKUTUACHA WATANZANI TENA UKOME SIKU NYINGINE KUFIKILI SISI NI MAZWAZWA. KOMA KABISA WE KIJANA😡😡
 
sababu zako zote ni mavi matupu upinzani umeanguka sababu ya polisi tiss nec jqmbo walilolifanya Mungu atawalipia watanzania
 
Kwanini upinzani umeanguka vibaya:

1) Hakuna Mtanzania yeyote anayeweza kuchagua mbunge ambaye anashauri mashirika ya fedha na wadau wa maendeleo wasiipe fedha Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa nchi yetu, hili liwe funzo watu wabishane kwa hoja lakini si kuchoma nyumba tunayoishi sote.

2) Hakuna Mtanzania anayeweza kuchagua mbunge ambaye hadi leo anaamini Corona ipo na akili zake ni kufanya lockdown, nasema Watanzania hawako tayari kwa hilo kabisa.

3) Hakuna Mtanzania anayeweza kukipigia kura chama kilichojipambanua wazi kwamba kitaweka rehani rasilimari za nchi yetu kama mafuta, madini, gesi na mbuga ili kuweza kukopa fedha nje kwa ajili ya kuleta maendeleo hapa nchini, watu wanaogopa kuweka rehani nyumba zao sembuse mali za nchi, hii ni sera mbovu sana kuwahi kutokea.

4) Hakuna Mtanzania ambaye anaweza kukubali kukipigia chama kinachopanga kubinafsisha miradi ya kimkakati kama Bwawa la Umeme, SGR inayoendelea kujengwa na kuwapa watu binafsi ambao ni wao wenyewe, tumeshatoka huko na hatutaki kurudi tena kwenye ujinga huo. Being there done that no turning back.

5) Hakuna Mtanzania ambaye anaweza kuchagua chama kinachotaka kuzidi kufukarisha maskini kwa kurasimisha madalali kama kangomba, chama cha ACT kiliifanya hii kuwa sera yao kuu kwenye uchaguzi huu, na wananchi wameweza kuwajibu vizuri.

6) Wananchi wanapenda viongozi wenye hofu ya Mungu sio wale viongozi wanaobeza kumtegemea Mungu kama Tundu Lissu alivyokuwa anajidai kutumia science ya kuiga kuthibiti Corona huku akikejeri wito wa maombi uliotolewa na Mheshimiwa Rais Magufuli, akidai Mungu yuko busy hawezi dili na upuuzi huo. Bado aliacha kuvaa barakoa pamoja na matusi yake yote na kukusanya watu bila kujali taratibu za kujikinga na Corona.

7) Hakuna Mtanzania anayeweza kumchagua mbunge ambae anapinga na hana wazo la kuwajengea Wananchi Hospitali, Bandari, Meli, Barabara, Umeme, Maji, Kilimo, Shule bure, na mengine kama hayo, hakuna kabisa. Hivi wao wanaviita ni vitu na si maendeleo ya watu kwahiyo kwao havina maana wakati wananchi wanavitaka.

8) Wananchi wanapenda vitu vinavyowatatiza viongelewe na vipewe suluhu, sasa wapinzani wanapoongelea kuwapa wananchi uhuru, sera ngumu sana kueleweka kwasababu watu wako huru unawezaje kuwaahidi uhuru, uhuru upi wa kutukana matusi ama upi, kwahiyo hapa upinzani hawakuwa na agenda ya msingi na walipoteza muda mwingi kulihubiri hili kumbe ni tatizo lililopo vichwani mwao tu na wananchi wameshindwa kuwaelewa.

9) Kulikuwa kuna tofauti kubwa sana ya kuhubiri ilani, mgombea wa CCM alikuwa akifika sehemu anakuwa anayajua matatizo halisi ya eneo husika, kama ni maji, hospitali, uhitaji wa mji, mambo ya ardhi n.k na amekuwa akiyaongelea hayo matatizo halisi wakati Tundu Lissu ataanza kuongelea uhuru wakati wananchi wa eneo husika wanahitaji Hospital ama shule ama maji, ni ngumu kuchagulika ni ngumu sana. Tunawachagua wanaoyajua matatizo yetu halisi kabisa si matatizo yao kuyafanya ni ya kwetu.

10) Mimi kutomchagua Lissu, Mbowe, Sugu, Msigwa ama Lema hakunisumbui chochote kwa sababu kwanza hawana mahusiano mazuri na serikali, hawawezi kuongea na Rais kwa maana hiyo hawawezi lobby matatizo ya jimbo letu yatatuliwe, kwahiyo ntajisikia vizuri nikiwa na mbunge ambaye ana access na waziri husika na hata Rais inapobidi si mtu ambaye anapayuka na kubwabwaja bila mpango wowote, so napenda nipate mbunge mwenye mahusiano mazuri na viongozi wa serikali ili matatizo yetu yatatuliwe haraka.

Wenu katika ujenzi wa nchi.

Mwanakijiji Mpenda Nchi.
Umeandika upumbavu mtupu..wizi wote na manyanyaso kwa mawakala na utumiaji wa vyombo vya ulinzi katika mchakato wote af unauliza kwanini upinzani umeanguka vibaya..?unahitaji maombi kuweza kuona kilichosababisha..
 
Hili ndio jambo muhimu kujadili sasa hivi ili kujipanga upya.
Kushindwa vibaya kwa upinzani hususani chama kikuu chadema, binafsi nayaweka ktk sababu mbili. Makosa ya kitaasisi (Chama) na makosa yanayofanywa na mgombe.
MAKOSA YA KITAASISI
1. Chama kimeingia kwenye kinyang'anyio kikiwa hakijajiandaa. Kutojiandaa kumetokana na kupoteza muda mwingi kudhibiti migogoro ya ndani, hasa kuhusu ubadhirifu wa fedha. Kosa hili lilisababisha Mwenyekiti kutumia nguvu sana kudhibiti hata kukiuka mambo mengi ya kikatiba. Utaliona hili hata ktk uchaguzi wa ndani ya chama alipolazimisha nani awe kiongozi na na nani atoswe. Hata makamu wa mwenyekiti alIpatikana kwa tamko tu la mwenyekiti kuwa ameamua awe nani na akampelekea fomu huko alikokuwa.
2. Kosa kubwa jingine ni lile lililofanywa 2019 kususia Uchaguzi wa serikali za Mitaa na CCM Kuchukua mitaa yote. Chadema walikosa viongozi ktk base ya chini kabisa kama fulsa ya kufanya siasa za ushawishi.
3. Ususiaji wa vikao vya Bunge hasa wakati wa janga la Korona kulitoa taswira hasi kwa wapiga kura. Uchafuzi kwa mataifa na Shinikizo ulioshindwa, uliofanywa ndani na nje ya nchi na chama hiki kwa kuongozwa na kushikiwa kidedea na Lissu, lilifanya mtu huyu aonekane kama msaliti wa Taifa. Lissu alitiliwa mashaka na wapiga kura tangu alipoanza kuzunguka duniani akitoa kashfa kwa Taifa lake, inashangaza kwa nini chama kiliamua kumuingiza kwa nguvu katika mchakato wa kinyang'anyio cha ngazi ya juu ya uongozi wa nchi.
4. Kupinga maendeleo waliyoyaita ya vitu hali kuwa wananchi wamekomboka kwa vitu hivyo hivyo ni kosa jingine kubwa. Mbaya zaidi kutaka kuaminisha watu wa maeneo fulani hawasahili kupatiwa maendeleo hayo yanayofanywa nchi nzima kwa kigezo cha atokako Rais imekuwa kichekesho sana hasa pale kwa watu wa eneo hilohilo unalodhani halisitahili kupata vitu hivyo, ati unaenda kuomba kura
MAKOSA YA MGOMBEA:
1. Kosa la kwanza la mgombea ni kutumia madhira ya kujeruhiwa kwa risasi 16 iwe ni kigezo cha kuchaguliwa. Kwa tukio hilo, alianza kampeni kwa kuamiisha kukosekana kwa Demokrasia haki na utawala wa sheria. Cha ajabu akililia hayo mwenyewe na mwenyekiti wake wakionekana mubashara wakiwafukuza waandishi wa habari na walinzi ktk mikutano yao, wakisahau kuwa nao pia ni wapiga kura. Wakipinga mambo ambayo yapo kisheria. Na muda mwingi akizungumzia Hayo bila kueleza atawafanya nini akishika madaraka.
2. Mgombea alijikita katika vitisho akidhani anaitishia serikali CCM na Tume ya uchaguzi. Asijue asijue wapiga kura sio wana CCM tu. vitisho hivyo vinamadhara mpaka wa wapiga kura watakaompigia kura yeye ktk kujitokeza kupiga kura. Alitaka kudanganya wapiga kura kuwa kwa kumtumia wakili wake toka ughaibuni serikali serikali imeingia woga wa kumuacha afanye atakavyo. Kumbe huyu amemharibia kwa kumjengea taswira ya kuwa na mamluki katika mapambano hayo kwa uhuru aliompatia kupambana na serikali kwa niaba yake.
3. Kosa la kiufundi la dakika ya 96 ni kumeza ndoana iliyorushwa na Mgombea wa CCM. Pale alipowaomba vijana wasijiingize kwenye vurugu zinazonadiwa na mgombe huyu sababu yeye ana tiketi ya kuondoka nchi akiwaacha wanashughulikiwa. Bila, kujua madhara yake akajitokeza na kukiri kuwa ni kweli ana tiketi hiyo na ataondoka baada ya uchaguzi. Hiyo pekee imepunguza kura na waliomshabikia kuona hakuna haja ya kusikiliza ushawishi wake wa kufanya vurugu. Hata maagizo ya kutokubaliana na matokeo yamekosa nguvu.
4. Kosa jingine. Alijikita kuaminisha kuonewa kwa Wafanyakazi, wafanya biashara na Wakulima. Kwa hili natawalaumu viongozi wa chama chake iwapo si kiburi cha mgombea wao. Hawaku mfahamisha, kwa miaka mitatu aliyokuwa ughaibuni Rais alishakutana wa makundi hayo na wakamueleza shida zao, wakulima wakafutiwa kodi zenye kero, road brock zikabaki kwa wakulima/wafanyabiashara wakubwa wa mazao. Wafanyabiashara wakaeleza na kutatuliwa matatizo yao na TRA. Wamachinga wakatatuliwa matatizo yao. Wachimbaji madini wakubwa kwa wadogo n.k. Tena kwa kero nyingine kutatuliwa papo kwa papo ktk mikutano yake na makundi hayo. Matokeo ndiyo hayo, makundi yote hayo yamemupuuza na kumchagua mgombea ayedhani anamfitini nao.
I

I appreciate your thought,

Thank you.
 
Ni kwa sababu ya;-
1) kuhamishwa kwa lasirimali watu toka vyama pinzani
2) kusimamishwa shughuli za kisiasa kwa upinzani miaka 5, wakati sisiem ikipiga kampeni toka siku ya kwanza ya Rais kupita.Na hii TV za Serikali kutangaza vyenye Maslahi kwa Chama cha Sisiem tu. Taarifa zenye kuhoji au kubana Serikali hapana.
3)kutokuwako na muunganiko mzuri wa vyama vya upinzani.

Kati ya yote namba 2 ndio kubwa.
Nasubiri kwa hamu Bima ya afya.
 
Back
Top Bottom