Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,817
- 4,566
"Mimi naamini chama kipo kwenye mazingira mazuri, lakini watu wanasema Politics is local, kuelekea Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa na uchaguzi wa Mkuu mwakani sina hofu na CCM, itaendelea kushinda na Rais atapata mandate yake sasa Rasmi. Coz Mandate hii anayo ndiyo maana ya Mgombea mwenza.
Maana watu wanasema Samia hakuchaguliwa, hapana tulichagua watu wawili Rais na Makamu wa Rais. 2025 atapata mandate yake yeye akiwa yeye sasa ndiyo Rais, nayeye atatutafutia mtu mwingine atakayekwenda naye. Mimi sina hofu ya CCM kushindwa na vyama vya upinzani. Unless kutokee mambo ya ajabu maana hakuna dalili zilizo wazi."