IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,184
- 7,817
Kufumbia macho dhuluma iliyofanywa kwa vyama vya upinzani haitowasaidia chochote, pia mkumbuke kwamba kutowachagua hao wabunge wa upinzani hamtaweza kamwe kuufuta upinzani nchini, kama ambavyo mmejionea baada ya miaka 5 ya kupiga marufuku mikutano haikuweza kuuwa upinzani.Tatzo lao walikuwa na fikra kwamba Watanzania bado wajinga vilevile Kila kitu kupinga kisa wao wapinzani, washaonyeshwa makali sasa & hope 2025 watajipanga kwa sera nzuri.